Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,143
- 17,881
Nairobi slums kushoto kulia? 😂 😂 😂 😂Nairobi ni slums kushoto kulia na kiu mpaka statehouse
Nairobi slums kushoto kulia? 😂 😂 😂 😂Nairobi ni slums kushoto kulia na kiu mpaka statehouse
Hawatuwezi kabisa katika real estate
Mzee mbona hakuna hapo. Nairobi ni sehemu tatu tu.Huu mchezo tulianza tisini, wakati bado mwaishi porini😂😂View attachment 1785567View attachment 1785569View attachment 1785570View attachment 1785571View attachment 1785574
Hizi ndio huziita slums na kuziweka level moja na mathare 🤣🤣🤣🤣
View attachment 1785557View attachment 1785558View attachment 1785559
Ukifika south africa wamejaa wazimbabwe,wenyewe kule wanajiita wazimdollar,yote sababu ya umaskini nchi kwao ndio maana wengi wanakimbilia south,na wasouth hakuna watu wasiowapenda kama hao wazimdollar maana ni cheap labor wamehodhi ajira nyingi sana,ndivyo wakunya wanataka kuigeuza Tanzania kama wazimdollar kule south,wazimdollar kule kinachowalinda ni SADC,wakunya njaa itawaua,TZ ndio kwanza tunataka kuongeza fees za work permit special kwa kunyalandView attachment 1784740View attachment 1784742
Zimbabwe sio size yenu, dont get fooled by the media. I rather compare kenya to zimbabwe than poor tanzania.
Halafu wakenya wamejaa kwenye guest houses za Tanzania, wakifanya kazi za house keeping.Ukifika south africa wamejaa wazimbabwe,wenyewe kule wanajiita wazimdollar,yote sababu ya umaskini nchi kwao ndio maana wengi wanakimbilia south,na wasouth hakuna watu wasiowapenda kama hao wazimdollar maana ni cheap labor wamehodhi ajira nyingi sana,ndivyo wakunya wanataka kuigeuza Tanzania kama wazimdollar kule south,wazimdollar kule kinachowalinda ni SADC,wakunya njaa itawaua,TZ ndio kwanza tuanataka kuongeza fees za work permit special kwa kunyaland
Wamalawi kinachowalinda ni SADC kufanya kazi kwao TZ,ndio maana utosikia mmalawi kapigwa patriation kutoka TZ,jamaa ni ndugu zetu,ngoma ipo kwa wakunya,Mwanangu anasoma shule flan baadhi ya walimu ni wakunya,wazambia n.k hapo Dar,kuna siku nilienda tu kufuatilia maendeleo ya Mtoto,hiyo siku kama zali nikakuta ndio immigration wako doria kukagua vibali vya kazi,wakunya walitoka nduki balaa!!Halafu wakenya wamejaa kwenye guest houses za Tanzania, wakifanya kazi za house keeping.
Kwenye bars napo wapo wengi kweli.
Hapa Tanzania wamalawi wenye wanajulikana kwa kazi za ndani na kumwagilia bustani.
Yosef Festo Coco Master Nicxie [emoji1787][emoji116][emoji116] hii ni tandale leo nimeamua kupita huku kuwaonesha video zangu mwenyewe haya fananishani na ushuzi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania slum haitakuwepo mpaka dunia inasmama mukasirike mpaka uharo uwatoke[emoji16]
View attachment 1785563
🤣 🤣 🤣 Halafu wakenya wanambio balaa.Wamalawi kinachowalinda ni SADC kufanya kazi kwao TZ,ndio maana utosikia mmalawi kapigwa patriation kutoka TZ,jamaa ni ndugu zetu,ngoma ipo kwa wakunya,Mwanangu anasoma shule flan baadhi ya walimu ni wakunya,wazambia n.k hapo Dar,kuna siku nilienda tu kufuatilia maendeleo ya Mtoto,hiyo siku kama zali nikakuta ndio immigration wako doria kukagua vibali vya kazi,wakunya walitoka nduki balaa!!
Ukifika south africa wamejaa wazimbabwe,wenyewe kule wanajiita wazimdollar,yote sababu ya umaskini nchi kwao ndio maana wengi wanakimbilia south,na wasouth hakuna watu wasiowapenda kama hao wazimdollar maana ni cheap labor wamehodhi ajira nyingi sana,ndivyo wakunya wanataka kuigeuza Tanzania kama wazimdollar kule south,wazimdollar kule kinachowalinda ni SADC,wakunya njaa itawaua,TZ ndio kwanza tunataka kuongeza fees za work permit special kwa kunyaland
Kwa hivyo uchumi ni economics!? 😂 😂
😄😄😄😄ngoja leo niwape somoUshuzi wa bata [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mbona hakuna hapo. Nairobi ni sehemu tatu tu.
1. Kilimani
2. Upper hill
3. Parklands
Basi. Huwezi kutaja sehemu nyingine tofauti na hapo.
Mbona naona na westland au sioni vzr😃😃
Umeandika utumbo.Kwa hivyo uchumi ni economics!? 😂 😂
So in short you are saying that economy and economics are the same things just because they sound the same!
Let me help you bongolala coz it's plain obvious that you are stupid. In a nutshell, economy is the relationship between the production, trade and supply of money in a given region or country while economics is simply the study of economies with special emphasis on developing models for their functions like structure, performance and remedies among others.
There are myriad of adjectives that come from the word economy. Examples include economics, economic and economical. They all have different meanings and usage so please do not confuse them
Nyinyi muko million 40😄😄😄 unawazimu wa kichwa weweNilikuambia ufanye hesabu za haraka ukashindwa. Endelea kujifariji na kujifanya hamnazo
40%x52,000,000 = 20.8 mln
Sasa linganisha na 28 million yenu kisha upate jibu. Usiforce tufane bongolala. We'll never be the same