Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yosef Festo Coco Master Nicxie 🤣👇👇 hii ni tandale leo nimeamua kupita huku kuwaonesha video zangu mwenyewe haya fananishani na ushuzi sasa🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania slum haitakuwepo mpaka dunia inasmama mukasirike mpaka uharo uwatoke😁
View attachment 1785563
Ulikuwa unataka tusikie tu hiyo sauti yako ya chura na hasira zako ama? Hiyo video yako haionyeshi chochote. Nasikia tu sauti ya vilaza wawili na neno ushuzi likitemwa kama pilipili
 
Mzee Hii hapa ni Kariakoo.
Hatupoi kijana.
images - 2021-05-15T105647.991.jpeg
images - 2021-05-15T105657.671.jpeg
images - 2021-05-15T105635.191.jpeg
 
Ulikuwa unataka tusikie tu hiyo sauti yako ya chura na hasira zako ama? Hiyo video yako haionyeshi chochote. Nasikia tu sauti ya vilaza wawili na neno ushuzi likitemwa kama pilipili
Nenda Uhuru Park kwenye free WIFI. Huwezi kuona maana internet yako ni weak. Hiyo ni HD huwezi ukaona kwenye net ya kukwama kwama.
 
Nenda Uhuru Park kwenye free WIFI. Huwezi kuona maana internet yako ni weak. Hiyo ni HD huwezi ukaona kwenye net ya kukwama kwama.
Halafu hayo maneno yao nimesikiaje kama sijawatch hiyo 'video'? Na nikajuaje ni vilaza wawili wanaongea?
 
Siku moja kuna mkunya alimuuzi Tony254 basi tony akamwambia yule Mkunya kwamba Watz hawajui uozo mwingi wa hapa Kenya kwahiyo ukiendelea nitaweka uozo wote hapa, basi nilistuka sn yn kwamba haya madudu yote yanayopostiwa humu kuhusu Kenya kumbe ni cha mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakumbuka nusu ngumi zitokee. Wakaanza kuwa kama wanamtenga fulani hivi.
😁😀🤣
 
Back
Top Bottom