Kachengcheng
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,551
- 979
Mwambie pia Watoto wa Faarmajo wanasomea Nairobi,Mbona hawakuenda Ethiopia🇰🇪🔥🔥Basi watanzani wenye hela zao wanaleta watoto wao kusomea kutokea la kwanza hadi form4 huku.
Mbona wanafunzi wa tz kutoka primary ni wengi
Na Tunawavisha😛Bila sisi mtavaa ngozi za Ngombe,We are your Customers and Customer is always the Boss🇰🇪Cheza nasi muangamie😎🔥🔥
Wakiulizwa makaburi wanakula kubwa machifu wao[emoji23][emoji23]Unawazungumzia wa turkana na wapokot ngoja uone [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
njaa haina baunsa [emoji3][emoji3][emoji3] hata uwe na kifua kama tembo njaa inakuondoa tu
Nenda mahakamani ukashtaki, huenda ukapata jibu[emoji23][emoji23]Na wapi zile 14b ksh za wakenya maskini ?? Zimekwenda kwenyw matumbo ya wale wale wanasiasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unajua hata unachokiongea .? 😂😂.In Tanzania Unaweza enda miles and miles ukiona Uswazi.Dar is Slum/TZ is Slum👎😛
Mwanasiasa ruto ndio aliwadanganya hvo🤣🤣🤣Wakiulizwa makaburi wanakula kubwa machifu wao[emoji23][emoji23]
Walipoulizwa makaburi jamaa walikula kubwa, huo wakati uhuru alikua nje ya nchi..siku tatu tu jamaa walikiona story ikaishaView attachment 1783809
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wenzako twitter wanalia huku wakishangiliaNenda mahakamani ukashtaki, huenda ukapata jibu[emoji23][emoji23]
Siasa zetu huziwezi akili ndogo jichoboi
Hehehe!!tulianzaga zamani, tangia uhuru tunawavisha nyie..yani watz ni tabu, wakipata kitu basi hujikuta wao ndio wa kwanza duniani... Tunauza nguo mpaka Alabama Us .. kwahyo usijidanganye eti mnatuvalisha nguo
Because All TZ is Slum😜Ngoja nikwambie kitu bro hawa watu huwa wanaona tumepiga sana bao kutokua na slum sasa hua wanajiuliza kwann slum hakuna tanzania 🤣🤣🤣🤣 sasa wanajaribu kuforce ili walau tufanane wasionekane wao wamepotea sasa wanalazmisha tupotee wote ili tusipate kuwabeza 🤣🤣🤣 sasa chakushangaza hata nyani alieko australia anajua hiiii👇👇👇👇👇
View attachment 1783670
Hyo kafa liniMwanasiasa ruto ndio aliwadanganya hvo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So ww na mzungu mwenye sattelite nani anaakili??😃😃😃Because All TZ is Slum😜
👇👇👇👇👇Hyo kafa lini
Rutu kawadanganya tena mwanasiasa anaeutamani urais kua turkana hakuna mtu anakufa kwa njaa🤣🤣🤣🤣 kwani turkana wameanza jana au juzi kufa kwa njaa mbona hilo kwao ni kawaida
Tia pua uone km utabaki salama[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenzako twitter wanalia huku wakishangilia
Mzungu kasema marehemu kafa kw corona[emoji23][emoji23]So ww na mzungu mwenye sattelite nani anaakili??[emoji2][emoji2][emoji2]
Hehehe!!utabaki na kawadanganya, km vidume wasizike au wakizika basi waonyeshe makaburi..Rutu kawadanganya tena mwanasiasa anaeutamani urais kua turkana hakuna mtu anakufa kwa njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani turkana wameanza jana au juzi kufa kwa njaa mbona hilo kwao ni kawaida
Tunanua Mazao yenu kwa Bei nzuri,Ndio mpate pesa ya kununua ChupiMunamvisha nani nyinyi 🤣🤣 hebu tuanzie hapo