Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, Hii ilibidi iwe hivi Kulingana na masharti ya ile pesa kutoka WB.
Mama hakuwa na namna hata JPM angekuwepo angebana tu ila mwisho wa siku angeachia kiaina kama ilivyofanyika sasa...soma hiyo thread utaona namna itakavyo kuwa.
Wazee wa bakuli mpo[emoji23][emoji23]
Maskini nyie, siku zote tumeambiwa wasaidieni maskini na nwenye uwezo mkopeshe ila km hana uwezo heri umpe bure...
Km hauna ukipewa balaa ni lile la kukamatiwa assets wengine wakiwaonea huruma na kuwafutia madeni kabisa
 
Kwanin wacancel contract kuna shida gani ww hujiulizi maswali ukapata jawabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukiambiwa nchi imeoza kwann unakasirika
Waki cancel kwenu watakua mabeberu lkn[emoji23]
 
Kenya wamamiliki hub ya slum a.k.a ultra outdated slum
 
Nimekwambia ww joho humjui na historia yake huijui kaa kimya tu mzee [emoji3][emoji3][emoji3]
We unaijua mitandaoni sio historia yake[emoji23][emoji23]
Asante sana kw kuwafuatilia wanasiasa wa kenya..
 
Nyani kweli haoni kundule nyie mnapewa hadi chakula na mwarabu halafu unapiga kelele hapa
 
Zaidi ya robo karne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchina amewakamata pabaya unafkiri hio miundombinu after 30 yrs itakua kwenyw hali gani just take a dream
Kuna barabara tangia mkoloni zipo itakuja hyo 30yrs[emoji23][emoji23]
Hata wajukuu hapo watakuja ku enjoy, kumbe tatizo lako 30ys..usijali omba uwepo duniani mpka hyo 30 iishe basi
 
Nyani kweli haoni kundule nyie mnapewa hadi chakula na mwarabu halafu unapiga kelele hapa
Vyakula mbona kawaida tu[emoji23][emoji23]
Lkn hitoskia siku eti sisi tunajengewa flyover km donation
Tanzania ni somalia iliyochangamka[emoji23][emoji23]
 
Vyakula mbona kawaida tu[emoji23][emoji23]
Lkn hitoskia siku eti sisi tunajengewa flyover km donation
Tanzania ni somalia iliyochangamka[emoji23][emoji23]
Kuna choo mmejengewa tena mkaandikiwa muache kukata gogo vichakani. Ile picha hipo humu sina mda wa kuitafuta
 
Kuna barabara tangia mkoloni zipo itakuja hyo 30yrs[emoji23][emoji23]
Hata wajukuu hapo watakuja ku enjoy, kumbe tatizo lako 30ys..usijali omba uwepo duniani mpka hyo 30 iishe basi
Umafkiri watu wa zamani ni kama wasasa huoni mfano wa gari la zamani na leo 🤣🤣 siku hzi mtu anatengeneza gari liharibike ununue spear afanye biashara na bahat mbaya sasa mumempata bingwa wakufanya mchezo low quality 😂😂😂 sijui utasema nn

hio miaka 30 sio tu uhesabu miaka hesabu na dhiki za kulipa pia 🤣🤣🤣 mafuta bei juu alaf unaensa kutana na mchina anasubiria ushuru pale 😂😂😂😂
 
Vyakula mbona kawaida tu[emoji23][emoji23]
Lkn hitoskia siku eti sisi tunajengewa flyover km donation
Tanzania ni somalia iliyochangamka[emoji23][emoji23]
Sisi wanaleta wenyewe nyie munaletea kwa huruma watu wanakufa na njaa sasa huruma ndio inawafanya walete chakula na mbaya zaidi ni nchi zenye jangwa 🤣🤣🤣
 
Angefanya magufuli wangesema dikteta sasa kafanya baba yao sijui watatumia neno gani🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…