Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Watu wa NGOs nchi yao sasa, wafanye watakavyo.
Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala
Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...www.jamiiforums.com
Prof Ndlichhako:wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo
Huyu mteule aliota mapembe sana.RCs na DCs wajiandae [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanin wacancel contract kuna shida gani ww hujiulizi maswali ukapata jawabu 🤣🤣🤣 ukiambiwa nchi imeoza kwann unakasirikaMasikini wa mamayake😂😂😂😂., loss of contract worth 70B or loss of 70B? Si wamarekani watapea mwingine hiyo contract., 🤣😂😂.,
Hii ni nn unapost mambo ya politics au 🤣🤣.njoo nikulipie karo dogo ufunguke akili angalau kidogo tu;
Wenzako wako na ushuhuda;View attachment 1783186
Pia mimi nimeshuhudia kua wewe uko na matatizo ya ubongo kama mwenzako anavyowajua., Mwenye kuvaa kiatu...dadeki🤣😂😂
View attachment 1783181
Mkuu, Hii ilibidi iwe hivi Kulingana na masharti ya ile pesa kutoka WB.Watu wa NGOs nchi yao sasa, wafanye watakavyo.
Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala
Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...www.jamiiforums.com
Prof Ndlichhako:wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo
Kumbe post za majukwaa ya siasa hahahhaha mm sikujua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yanu umekosa chakuongea sasa unatuletea siasaHampendi ukweli mbona???
View attachment 1783204
View attachment 1783206
View attachment 1783207
Lanes ichoboy01 lanes😂😂😂🤣🤣..,
Naomba utafute sehemu upate soda baridi uwaambie bili juu yangu 🤣🤣🤣🤣ngoja nikupe ukweli leo, kwa shule za secondary, wabongo waliofeli bongo afu wanahela huwa wanakimbilia kenya na uganda, kwa vyuo, wabongo waliofeli form six afu kwao wanahela huwa wanakimbilia china kwasababu huko kufaulu na kupata cheti au degree huko ni rahis kuliko nyumban Tanzania. mdada ukiona kila mwanaume anakufata ujue you’re touchable/catchable.. na wanauhakika wa kukukula mda wowote
mnajisifia mna elimu nzuri wakat kila mwez maghorofa yenu yanaanguka
mnipe mfano wowote wa mtanzania aliepata division one form six afu akataman kwenda kenya au uganda. ni losers pekee ndo wanafikiria kwenda sehem rahis ili wapate vyeti.. nina marafiki zangu form six walikuwa wa mwisho darasan.. wote wakaenda china.. huko china kwenyewe wameishia kuwa wauza simu/pc na vyombo vya nyumban.. hawajapata hata degree wala babu yake degree
huwa najiuliza kwann waliofeli hawakimbilii US au UK, kimbilio lako ni China kwasababu China wanapokea hata mamluki wa darasan
Najua huwezi gusa kwenye history manake unajua lazma nikunyuke 🤣🤣🤣🤣Bwahaha[emoji23][emoji23]sina time na hekaya zako mwarabu, nenda kahangaike na kujua kwenu kwanza ndio uje uhangaikie ya watu
Hapo sasa mzungu ndipo anapoonekana anaakili ya miaka 300 mbele 🤣🤣🤣🤣Nyie wajomba Yosef Festo Nicxie na Coco reborn nyie tuliwaambia jana kwamba haya maneo sio ya Dsm slums kama kwenu uko, leo nimewaletea clear pictures za hayo maeneo alaf mlinganisha na slums zenu,twende kazi .. View attachment 1783330View attachment 1783331vs your slums View attachment 1783333View attachment 1783334View attachment 1783335NB: SISI HATUISHI KWENYE MABATI KAMA WANAYAMA
Utawafanya wote wakimbie humu mara moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakunya Nimefika Nairobi tena🙂naelekea kakuma/Dadab nkitoka narudi Nairobi season 2 nione kama kuna improvement au ndo Yale Yale🙂🙂🙂View attachment 1783449View attachment 1783451
Another win to chinnese 30yrs 🤣🤣🤣 ama kweli aliewaroga nyinyi lazma alikua uchiExpressway taking shape View attachment 1783627
Ngoja nikwambie kitu bro hawa watu huwa wanaona tumepiga sana bao kutokua na slum sasa hua wanajiuliza kwann slum hakuna tanzania 🤣🤣🤣🤣 sasa wanajaribu kuforce ili walau tufanane wasionekane wao wamepotea sasa wanalazmisha tupotee wote ili tusipate kuwabeza 🤣🤣🤣 sasa chakushangaza hata nyani alieko australia anajua hiiii👇👇👇👇👇Nyie wajomba Yosef Festo Nicxie na Coco reborn nyie tuliwaambia jana kwamba haya maneo sio ya Dsm slums kama kwenu uko, leo nimewaletea clear pictures za hayo maeneo alaf mlinganisha na slums zenu,twende kazi .. View attachment 1783330View attachment 1783331vs your slums View attachment 1783333View attachment 1783334View attachment 1783335NB: SISI HATUISHI KWENYE MABATI KAMA WANAYAMA
We are not complainingAnother win to chinnese 30yrs 🤣🤣🤣 ama kweli aliewaroga nyinyi lazma alikua uchi
Eid Mubarak brother!To everyone👍👍👍View attachment 1783652
Hii itakua sabotage nahisi,sidhani kama nchi zote zinadaiwa uwa zinakamatiwa ndege zao kinamna hii!ndo maana nikauliza ile bombardier Dash8-400 C-GPPU tunayoiona miezi na miezi mbona haifiki Tanzania?
GAR Covers Steptoe's Success in $22M Judgment Enforcement Against Tanzania
May 3, 2021
Global Arbitration Review (GAR) covered Steptoe's judgment enforcement success in an article titled "Tanzania Pays Treaty Award to Avoid Aircraft Seizure." Tanzania paid $22 million to satisfy an UNCITRAL arbitration award issued under the Italy-Tanzania bilateral investment treaty after the Italian-owned creditors attempted to seize three aircraft purchased by the East African state following enforcement of the award in the Canadian courts. In an order dated April 22, the Ontario Superior Court of Justice lifted a freezing order obtained by British Virgin Islands-registered Sunlodges and its subsidiary against a de Havilland aircraft, stating Tanzania had paid the award in full. The payment also successfully concluded Sunlodges’ attempts in a Quebec court to seize two Airbus aircraft that Tanzania had purchased.
- Overview
- Professionals
- Practices
Steptoe London partner Matthew Coleman and associate Tom Innes represent Sunlodges Ltd and Sunlodges (T) Limited in this case in regard to the arbitration and the enforcement proceedings.
The full article can be read at GAR (subscription required).
GAR Covers Steptoe's Success in $22M Judgment Enforcement Against Tanzania
Global Arbitration Review (GAR) covered Steptoe's judgment enforcement success in an article titled "Tanzania Pays Treaty Award to Avoid Aircraft Seizure." Tanzania paid $22 million to satisfy an UNCI...www.steptoe.com
Nataka nitoneshe kidonda🤣🤣🤣🤣Utawafanya wote wakimbie humu mara moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na nchi imewafia mkononi 🤣🤣🤣🤣 bado dawa hata hamujaanza kulipia kwani SGR ilikuaje mumesahauWe are not complaining