Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni wapi nimesema wakenya wako na uwezo wa juu kujenga nyumba kuliko watanzania? Huenda haya naneno ni ya kweli ila mimi sijayasema so wacha kuweka maneno kinywani mwangu.

Secondly, wacha kutegemea naneno ya kusikia. Njoo Nairobi uone idadi ya watu wanaomiliki nyumba zao binafsi. Syokimau, Utawala, Saika, Kahawa Wendani, Garden estate, Lang'ata na Ruai ni baadhi tu ya maeneo ambayo nyingi za nyuma zilizopo huko ni za watu waliojijengea. Ni nyumba nzuri tu na hayafanani na zile dreamhouses za Dar tunazojua.

Lastly, hata hizo zinazojengwa na makampuni nyingi tu ni za kuuza na ni wakenya ndio wanazinunua. Greenspan Estate in Donholm ni mfano tu wa nyumba zilizojengwa kwa ajili ya kuuza wala sio kupanganisha. Ukienda huko saa hii utakuta nyumba zote zimenunuliwa
 
Well said.... Nimekupa vyema...hope system waitaifanyia kazi.
 
At the end of May, lamu port will be starting operations. Wakati huo huo kuna nchi flani naskia bado wanabishana kama wajenge au wasijenge bwagamoyo port😂😂 jamani waombeeni wanatia huruma😁😁
 
Lakini kinachonifurahisha ni kwamba leo mnashabikia dormitories. Ule wimbo wa watanzania hawawezi ishi kwenye 'dormitories zinazofanana' imeenda wapi all of a sudden? 😂 😂 😂
If you can't beat them, you join them
Hawa watu ni wa kushangaza. Tukiwa nacho, nikibaya. Wakikipata, kinakuwa kizuri. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nani kakudanganya km hayo makampuni units wanazojenga hawaziuzi
 
Nani kakudanganya km hayo makampuni units wanazojenga hawaziuzi
 
Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake? [emoji23] [emoji23]
Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake? [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo hapa huoni ghorofa au hupajui kkoo wewe, si ndo hapa watu wanunua kwa mabilioni [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1777518View attachment 1777523

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu anafikiri watu ni wajinga. Anasema eti watu wamenunua hizo nyumba, wakazibomoa na kujenga maghorofa. Hayo maghorofa yako wapi kwenye hilo eneo? Ama ziko tu kwa akili yake? [emoji23] [emoji23]
Si ndiyo hapa kkoo watu wananunua kwa mabilioni wanabomoa zen wanajenga km hivi kwn we hupajui kkoo wewe au sifa tu[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…