Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bidhaa gani ya Kenya ambayo haitengenezwi Tanzania?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabana kaachia sasa
Hawa wajinga inabidi kuwa nao macho. Isije ikawa kuna "mahali" waliona udhaifu hivyo wakatengeneza ishu ya mahindi as bait.

Rejea kwa mfano namna tulivyokamata makinikia ya Barrick na kisha kuyatumia kama bait ili wacheze ngoma yetu.

Mimi nitakuwa comfortable atleast nitakaposikia facts kuhusiana na hayo makubaliano yao. Enzi za Magu angekwisha kutuambia yaliyomo. Kwenye hiyo ishu ya bomba la gesi kwa mfano, nini details zake.

Otherwise tusikubali kabisa hizo stori za huyo rais wao eti kwamba yeye yuko tayari hata kuwaive ishu ya vibali na leseni! Tutapigwa. Sisi tuendelee tu na mwendo wetu. Tujue tu namna ya kupata masoko mbadala pindi hao masnitch wanaposnitch!

Mfano: Ningekuwa serikali ningetazama mambo yafuatayo ili kushughulikia suala la soko la mahindi badala ya kupoteza muda na hao vigeugeu (in Jaguar tone);

[emoji2785] Tuwekeze zaidi kwenye uzalishaji unaotumia mahindi kama malighafi. Shughuli kama ufugaji zinaconsume sana mahindi. Hivyo ni vema serikali kuwezesha wazalishaji wa vyakula na wafugaji ili kuongeza domestic consumption ya mahindi.

Swali: Sasa vipi kuhusu pengo la forex na balance of trade kutokana na kulikacha soko la nje (Kenya).

Jibu: Pengo hilo litazibwa na exports za bidhaa zitakazozalishwa kwa kutumia hayo mahindi. Bidhaa za mifugo; kuku, sungura, mayai, nk

[emoji2785]Tuelekeze nguvu nyingine kwenye uzalishaji wa mazao mengine yanayohitajika sana. Maeneo tanayofaa kulima mahindi yanaweza pia kutumika kulima alizeti! Kwa nini tuumizwe vichwa na hayo mahindi ilhali tunatumia takriban bilioni 600 kuagiza mafuta ya kupikia nje.

Hili automatically litarekebisha hata urari wa biashara na pia kuokoa fedha za kigeni zinazotumika kuagiza mafuta ya kula.

Hayo mambo mawili yakiangaliwa vema hatutakuwa na haja hata ya kukaa mezani na hao wapuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyeshe tope hapo
Una zoom picha chafu unatuletea hapa
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇
Saidia mwenzio sasa
 
Kenya sio nchi rafiki bali ni nchi iliojaa watu wenye chuki na wivu hasa dhidi ya tanzania yani wanawivu na tanzania kuliko nchi zingine duniani 😀😀 sasa hvi wamekua na heshima kidogo na tanzania na heshma hio imejengwa pakubwa na hayati magufuli.. ule muda wakujifanyia watakacho ushakwisha sasa ni heshima tu
 
Ha ha haaa. Mkuu hii battle ya viwanda tuipotezee kwanza kwa sasa. Huwezi kupeleka bondia uzito wa light ulingo mmoja na yule wa heavy! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
eliakeem inaonekana unadhani Wakenya wote ni masikini wa kutupwa. Huwezi kujua maisha ya watu binafsi huku JF. Huwezi kujua nani anamiliki nini.
Siyo wote, lkn hao waliopo wangemiminika kuja bongo, utadhani wanakimbia vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…