Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dongo Kundu Bypass project, Mombasa

More pictures

IMG-20210505-WA0005.jpg

IMG-20210505-WA0004.jpg

IMG-20210505-WA0002.jpg

IMG-20210505-WA0010.jpg

IMG-20210505-WA0011.jpg

IMG-20210505-WA0003.jpg

IMG-20210505-WA0007.jpg

IMG-20210505-WA0009.jpg
 
Nasikia hapa kwenye hili kongamano Ali Kiba na Diamond ndo wasanii wanaochukua madeals makubwa Kenya na kuleta hela Tanzania
Mention any deal from Kenya yenye wamechukua, si eti unaskia, weka hapa tukague..,
 
Jamaa anahesabu Hadi mavinyozi😂😂
Registering a company and business ni rahisi sana kama 1+1 lakini starting and running ndio kazi., So si ajabu ukiingia kwa data bank ya registered companies upate 10m but actual ones, up and running are just 100k., huyu jamaa ananifurahisha sana., fikra zake zimekaa vipi?., 1m companies in Tanzania alafu iwe na weak annual revenue in relation to population and size! East AfricaTrade balance weaker than Kenya!, internal businesses and net profits bado ni kidogo sana for a country with that population and size!., 1million companies eti?😂😂😂., a too obvious fallacy!
 
Mapesa Una matatizo.

Unaona hii list ina page ngapi? Na angalia hapa ni page ya ngapi na yanasoma makampuni Mangapi? Who is lying for the sake of lying now? What a loss[emoji23]

View attachment 1774020
You should just stick to taking pictures juu hujielewi. Kama page 1 - 1000 has only 9,000 entities. Meaning there are only 45,000 entities in entire Tanzania as opposed to 1,000,000 which was being speculated by your fellow witch.
 
Don't just lie for the sake of lying. Total number of companies in Tanzania hata haijafika 200k.
[emoji1787][emoji1787] kama kawaida yako we siku zote ni wakuropoka tu....

na huwa unaumbuka lakin haukomi,ongeza juhudi mzee masakuu
 
Registering a company and business ni rahisi sana kama 1+1 lakini starting and running ndio kazi., So si ajabu ukiingia kwa data bank ya registered companies upate 10m but actual ones, up and running are just 100k., huyu jamaa ananifurahisha sana., fikra zake zimekaa vipi?., 1m companies in Tanzania alafu iwe na weak annual revenue in relation to population and size! East AfricaTrade balance weaker than Kenya!, internal businesses and net profits bado ni kidogo sana for a country with that population and size!., 1million companies eti?😂😂😂., a too obvious fallacy!
The guy is just ignorant, I don't blame him.
 
Royal media and nation media wamewekeza nn tanzania ?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo jamaa ana akili za kitoto eti M.pesa yao....
basi inabidi tuwape hadi vodacom
 
You should just stick to taking pictures juu hujielewi. Kama page 1 - 1000 has only 9,000 entities. Meaning there are only 45,000 entities in entire Tanzania as opposed to 1,000,000 which was being speculated by your fellow witch.
Hapa kwa mapicha ndio wamekomaa, and not drone views, it exposes reality, only still photography, carefully selected and well 'manicured' pictures for peddling propaganda, wanaficha general uhalisia😂😂.,
 
ukweli upo hivi serikali ya kenya inaogopa sana wafanyabiashara wa Tz kuwekeza kenya,,,,na huwa wanakumbana na vikwazo vingi sana punde wanapotaka kuwekeza,,,wafanyabiashara wa kenya pia nao ni waoga wanaogopa soko lao kuingiliwa na watanzania sababu wanajua kitakachotokea...

bakharesa alitaka kuwekeza mombasa lakini kilichotokea ni kimya kimya full vikwazo mpaka ameamua kusimamisha zoezi
20210505_121834.jpg
 
ukweli upo hivi serikali ya kenya inaogopa sana wafanyabiashara wa Tz kuwekeza kenya,,,,na huwa wanakumbana na vikwazo vingi sana punde wanapotaka kuwekeza,,,wafanyabiashara wa kenya pia nao ni waoga wanaogopa soko lao kuingiliwa na watanzania sababu wanajua kitakachotokea...

bakharesa alitaka kuwekeza mombasa lakini kilichotokea ni kimya kimya full vikwazo mpaka ameamua kusimamisha zoeziView attachment 1774078
Nakumbuka hiyo niliandikiaga thread

Back
Top Bottom