Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01 mimi jana nilikuwa nauliza Geza Ulole pesa ya kujenga pipeline hii itatoka wapi lakini hakunijibu. Mimi naamini kwamba pipeline hii haitajengwa licha ya deal hii kusainiwa. Deni la Kenya lipo juu sana sidhani kama tunaweza kuomba pesa zaidi kwa ajili ya kujenga mradi huu. Na hata ikiwa tutaomba deni basi sisi tuna miradi zingine ambazo tumezipa kipaumbele zaidi kushinda huu mradi.
Tanzania imejenga gas pipeline from mtwara to dar 560km kumbuka hvo 🤣🤣

kumbe leo umegundua kua kenya ina madeni makubwa 🤣🤣🤣🤣🤣 Yosef Festo Teargas
 
Tanzania ipo na zaidi ya 1,000,000 companies. Wewe unaongelea kakampuni kamoja.
😂😂😂😂😂😂Rudia tena? Na uzitaje ama weka link nijisomee😂😂😂,in Tz ata mama ntilie ni kampuni😂😂😂.,
 
Tanzania imejenga gas pipeline from mtwara to dar 560km kumbuka hvo 🤣🤣

kumbe leo umegundua kua kenya ina madeni makubwa 🤣🤣🤣🤣🤣 Yosef Festo Teargas
Kulikoni mwenzangu? Naona ume nitag.,😂😂., hiyo sio tatizo kamwe, usisumbuke na madeni ya Kenya wewe, tulia uone vile mchezo wa uchumi huchezwa., maoni sio necessarily what will transpire, kuna many variables at play., watch out kama vile expressway 😂😂., Kwanza hii ya pipeline since ni nchi mbili, it is even easier to finance or get a financier, and the distance is not that long. Coast to coast. Kenya will benefit more energy wise.
 
Link hii hapa. Nikusikie unabweka tena
Idiot! is this👇👇 list ya companies?😂😂
Screenshot_20210505-110546.png

1620202016264.jpg

Ulidhani mimi ni mzembe sitafungua link?., weka link yenye hizo 1million companies..,
 
Back
Top Bottom