Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wamekali kuti kavu safari hii
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Dar es salaam the leading EA city.
FB_IMG_1499840066251.jpg

FB_IMG_1499840017720.jpg
FB_IMG_1499839982413.jpg
FB_IMG_1499838911969.jpg
FB_IMG_1499838587462.jpg
 
Mombasa ilihundle 30 million tons approx
Ports zote za Tanzania-14 million approx
Na mko na guts kubonga

sent from iPhone 7
 
Ndio lakini c kipo kitupu na hakina project yoyote.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Hakina kitu chochote?? Kamuulize Huyu kijana mdogo anaemiliki hii nyumba hapo Kigamboni. Najua Nairobi hakuna kijana anaemiliki nyumba yakuishi kama hii. Hapo bado sijaweka yangu. Hiyo nyumba ipo hapa Dar es salaam na anaishi huyu kijana kama mmiliki. Usichezee Dar es salaam. Hizo bastola kuna dereva walipindua hiyo gari yake. Alikuwa anawatafuta
FB_IMG_1499840283127.jpg
FB_IMG_1499840221000.jpg
 
Unapenda kuenda personal sana

sent from iPhone 7
lol! Nikweli ujala mkuu.?? Karibu Dar es salaam. Nikumegee kidogo gold. Am real serious kama upotiyali. Nisingependa upate shida ndogo ndogo ikiwa mimi nipo.Nakufanyia booking hapa KQ ofice ya kuja nakuludi. Am serious,
FB_IMG_1496598470967.jpg
FB_IMG_1496598470967.jpg
 
Mbona uongo huuu dar haiko hivi labda pic za kuedit

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Wakenya mna join kwa wingi sana. Karibuni, mapambano yanaendelea. Kule kwenu JamiiForums.com hamtutaki wabongo.
 
Back
Top Bottom