Kwani ni mamako ananilisha..shenzi
sent from iPhone 7
Mimi mbongo we mama,sio mpaka uwe genius ndio ujue Nairobi is more lit.Who are you by the way. Do you think ninyi vijana kutoka Kenya mtawaweza vijana wa kibongo?
No no no no no. Jaribu tena. By the way umekula lakini dogo!? {in man voice}
Mbona uongo huuu dar haiko hivi labda pic za kuedit
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Show me this city automated cleaning trucks kama zipo Nairobi?? Hizo za Dar es salaam. If real your better than Dar es salaam. Usituletee malori yakubeba zege na mchanga. Automated cleaning trucks I need to see them from Nairobi.Uzuri wa mji ni usafi kwanza. Nionyesheni hapa. Nairobi hakuna kitu chakusema inaizidi Dar es salaamView attachment 540607 View attachment 540608 View attachment 540609 View attachment 540610 View attachment 540611 View attachment 540612 View attachment 540613 View attachment 540617 View attachment 540607

Unalazmisha kua mbongo😀😀😀😀😀Mimi mbongo we mama,sio mpaka uwe genius ndio ujue Nairobi is more lit.
Dar es salaamNdio umeamua kunijibu sio. Wewe mbongo wa wapi!?
These are Dar es salaam Police women though!This Kenyan Police Women though
![]()
Kumbe tunaongea na jitu halijui hata dunia sasa inaendaje.chochote unachovuta nakushauri uache,Dar es salaam ni miongoni mwa miji michafu zaidi duniani.
Kuona dar imeichapa nairobi sasa munajipendekeza kua wabongo😀😀Dar es salaam
Tatizo mnafikiri kutetea vitu ambavyo ukweli upo wazi kuna wafanya muonekane wazalendo.Unalazmisha kua mbongo😀😀😀😀😀
Hakuna mbongo asiejielewa