Mbona viti vyambele havija kaliwa?? Ni mvua au jua?? Lol. Nairobi shidaaaa
wewe unaleta vistori toka kwenye hivyo viiblog uchwara,mimi ninazungumza kwa experience ya kuishi kwenye huo mji.Kumbe tunaongea na jitu halijui hata dunia sasa inaendaje.
Wewe unakaa maporini utajua dunia ikoje. Hebu soma hapa mwehu wewe
Cleanest Cities in Africa - African Zeal
usipaniki dada.Usijifanye mbongo fisi wewe.
Teh acha shisha,itakuua.Kuona dar imeichapa nairobi sasa munajipendekeza kua wabongo😀😀
Hahaha umeamua kutoa na fatwa 😀😀😀Tatizo mnafikiri kutetea vitu ambavyo ukweli upo wazi kuna wafanya muonekane wazalendo.
Qulul haq wainkkanna Murrah!
MbweniDar es salaam wapi sasa. Mabwepande au!?
Unatokea tandale sehemu gani?Hahaha umeamua kutoa na fatwa 😀😀😀
Yani imekuuma mpaka umechimba zaidi
Aise pole sana pumzika kidogo
Mbweni iko maeneo gani dar????Mbweni
😀😀😀😀😀😀Unatokea tandale sehemu gani?
Hili swali la kilofa kamulize dada yako,lete maswali yenye mashiko.Mbweni iko maeneo gani dar????
😀😀😀😀😀😀😀Hili swali la kilofa kamulize dada yako,lete maswali yenye mashiko.
Kama unaiona dar safi sikushangai,hata inzi huliona jalala ni safi.😀😀😀😀😀😀
Yani kumbe imekuuma sana
Vp ushakula?????
kwani tuna cheza drafti humu?!?!😀😀😀😀😀😀😀
Naona una force king
Wewe fala nini. Mbona huleti hizo source zako. Naona unatafuta mme siyo!? Nenda taratibu usije ukaiona JF chungu. Unataka nianze kukufuatilia comment zako siyo. Wewe siyo mtanzania mwehu wewe.wewe unaleta vistori toka kwenye hivyo viiblog uchwara,mimi ninazungumza kwa experience ya kuishi kwenye huo mji.
Usifikiri wote tunatoka msanga kama wewe.
Mkenya anaomba uraia wa tanzania mpeni jamanikwani tuna cheza drafti humu?!?!
Mbona unatapika povuuu😀😀😀😀Kama unaiona dar safi sikushangai,hata inzi huliona jalala ni safi.