Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

812A6A74-80F0-4892-B5C0-2025ACE49767.jpeg
 
wataalam wa uchumi hii imekaa poa kusajiliwa UK?
kwa mtazamo wangu naona hapa M7 kazingua
Kiuchumi haiko sawa hata kidogo. Ni udhaifu tu wa viongozi wetu.

Hapo ni dhahili main accounts zao zitafunguliwa kwenye London banks kitu ambacho kitanufaisha uchumi wa Uingereza au Ulaya.

Anyway siyo mbaya sana maana wamejitahidi hata hivyo. Mbali na Magufuli hakuna kiongozi yeyote wa nchi hizi za kiafrika anaweza kwenda head on head na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In east africa chuo ambacho kipo kwenye whitelist ni,hui mchuo wenu uko kwenye blacklist,siku yake nenda pale kuna wacongo,wanaminia na wakunya wenzio
Wakenya kuja Bongo sio tatizo, kila mtu ana choice yake, na anatumia hela yake sio ya serikali. Kitu ni mmekubali kuna chuo? Kiwe blacklisted venye unasema kiwe kwenye White list, hayo sio yangu. Na ukumbuke, hakuna anayeweza toa hela kwa shule haitoi elimu nzuri. Just think about that. Sahi sio 2007, nop! 🤣 🤣 😂
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Okay bro,
let's focus on the issue rather than personality.
Kuwekeza kwenye heavy industry like refineries ni jambo la muhimu sana. Tunapaswa kulifikiria sana.
As far as I know kuwekeza kwenye oil refinery ni suala la utashi tu na siyo lazima nchi iwe na oil reserves. Ndiyo sababu Nyerere alijenga refinery kwa ushirikiano na Italy pale Kigamboni sema ndiyo hivyo ikaja kuuawa.

Nchi kama Tanzania inapaswa kuwa na refinery yake na tupaswa kutoingiza mafuta yaliyokwisha safishwa. Itakuwa ajabu ikiwa tutaacha mafuta ghafi yapite Tanga kwenda ughaibuni kusafishwa kisha yaletwe tena kwetu yakiwa refined.

Total wameahidi kujenga kiwanda cha rubricants. Yatupasa kuhakikisha Tanga kunakuwa na refinery.

Pia tusisahau kuwa tuna mafuta pale lake Eyasi basin ambayo kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba "mafuta yapo".

Kama ningekuwa serikali ya Tz ningehakikisha kila economic zone inakuwa na oil refinery moja; Mwanza, Mbeya, Tanga, Mtwara, Dar es Salaam, & Kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliekudanganya nani mama ngina 🤣🤣🤣 bahat nzuri sisi ni watanzania tunawajua mpaka chupi zenu za ndani, hapa sio nairaland
Don't be frustrated, I will just share the same videos I shared with your country man

 
Mbona hamruhusiwi kuenda huko, sasa si mtu akirudi Bongo kusalimu raia na atake kurudi, balaa hiyo sababu hatoweza?

kila nchi ina masharti yake. huyo anaekuja kama ana kibali cha kurudi, atarudi

na wapo watanzania watakaenda huko kama ana kibali
 
Back
Top Bottom