Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema the only floating footbridge in Kenya!

Zanzibar has a floating footbridge at Hotel Verde yatch docking area!

a-beautiful-new-marina.jpg



hotel-gave-us-one-of.jpg




68931130_394616414577760_8795531416579342336_n.jpg
Sasa hio ya Zanzibar Ni ufala mngani wa kulinganisha na ya Kenya
 
Context ya kila habari hapo ni tofauti, Magufuli alikua anaongelea ajira za ujumla za direct indirect, private and public sector, wengine ajira za kada tofauti tofauti

You can't judge a book by its cover
Mataga ni mataga tu[emoji23][emoji23]
Yeye kila kitu lazima a define kuvutia kwake..haya leta hzo clips hapa magu akisema hayo maneno...

Usisahau na za hao wengine
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakiwa twitter hua wanalia mpaka kamasi







Umeanza kuona leo wananchi wakikashifu serekali, basi na wala hutoskia wakiitwa vibaraka wa mabeberu ama wasemwe vibaya na kuitwa sio wazalendo
 
Sasa of all the people huyo unaemtaja ndo amekupa huo uelewa ama? seriously? mbona wasijenge kwao huko Lokichar wanasafirisha mafuta ghafi kwa malori? When it comes to minerals and oil and gas a Kenyan should be the last person to advice u! Nadhani ushasahau jinsi walivyokuwa wanapinga ukamatwaji wa makanikia humu ndani na pia wivu wa wazi baada ya makubaliano ya kuanzishwa Twiga minerals corporation na makubaliano yake! Saahii ongezeko la mapato ya mauzo dhahabu ndo yanatunusuru tusikope ovyo maana mapato ya utalii yameshuka!
Kama kitu inamake sense, ina make sense, logic ni logic hata ukahamia planet mars bado ni logic. Usiambukize eliakeem ugonjwa wako wa kukusanya watu kwa makundi ambayo ushaamua yako vipi. Mara zengine sikiza watu kulingana na mawazo yao Kama yana make sense. Kama mtu ameongea kitu kina make sense haijalishi ni mkristo au muislamu, mzungu au maafrika, mtanzania au msomali... As long as hoja yake iko sawa basi jadili hoja usiangalie aloe itoa.
Mbona Kenya na Tanzania tumeweza kuuziana stima bila kelele nyingi? Sio Kila kitu lazima uingize doa na kasoro... Mark my words, hakuna nchi hapa EAC ita make major leap into 1st world country bila kuenda na wenzake, na hata kukitokea exception hio nchi ilio endelea itapata kero sana(case point Mexico vs USA compared to USA vs Canada), itakua inasumbuliwa na hizo nchi jirani zilizo bado maskini... Haijalishi kama mko na gold ngapi au maligafi kiasi gani, cooperation ya majirani ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi.
Wacha nikupe mfano wa Kenya, maeneo ya Kenya ambayo hayajaendelea kabisa ni kaskazini kuelekea Ethiopia na S.Sudan na mashariki kuelekea Somalia .... Ukichunguza hizo nchi jirani hua hatuna cooperation zozote za kiuchumi nao.ni miaka michache iliopita ndo barbara ya lami kuelekea Ethiopia ilijengwa, Tayari mji wa moyale jaribu na Ethiopia umeona maendeleo kabambe...
Usidhani Mwanza au Kisumu ingekua mji mkuu bila cooperation ya majirani pale ziwa Victoria.
 
Kama kitu inamake sense, ina make sense, logic ni logic hata ukahamia planet mars bado ni logic. Usiambukize eliakeem ugonjwa wako wa kukusanya watu kwa makundi ambayo ushaamua yako vipi. Mara zengine sikiza watu kulingana na mawazo yao Kama yana make sense. Kama mtu ameongea kitu kina make sense haijalishi ni mkristo au muislamu, mzungu au maafrika, mtanzania au msomali... As long as hoja yake iko sawa basi jadili hoja usiangalie aloe itoa.
Mbona Kenya na Tanzania tumeweza kuuziana stima bila kelele nyingi? Sio Kila kitu lazima uingize doa na kasoro... Mark my words, hakuna nchi hapa EAC ita make major leap into 1st world country bila kuenda na wenzake, na hata kukitokea exception hio nchi ilio endelea itapata keto sana, itakua inasu,mbuliwa na hizo nchi jirani zilizo bado maskini... Haijalishi mkawa na gold ngapi au maligafi kiasi thank, cooperation ya majirani ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi.
Wacha nikupe mfano wa Kenya, maeneo ya Kenya ambayo hayajaendelea kabisa ni kaskazini kuelekea Ethiopia na S.Sudan na mashariki kuelekea Somalia .... Ukichunguza hizo nchi jirani hua hatuna cooperation zozote za kiuchumi nazo.
Fool, kaulize Uhuru revenues za Early Oil Pilot Scheme (EOPS) zimeenda wapI?
 
Back
Top Bottom