Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha. Kiwanda chakutengeneza magari yakuzoa taka.Arusha hiyoooo .Made in TZ from Arusha...o
CyvyXBkWQAA2hh9.jpg
CyvyXBkWQAA2hh9.jpg
a
 
Sasa sai Mombasa ni 30 million tons nyinyi 2030 38 million????

sent from iPhone 7
Leta references siyo kuongea tu dogo. Nimekuwekea hapo references kwamba by 2020 nyie mtakuwa na 24Ml/yr
Wakati Dar port itakuwa na 25ml/yr
Unatakiwa ukubaliane na hali Dar sasa hivi inaipiku Mombasa port within 3yrs.
Halafu kumbuka kuna Tanga port ambayo itashindana na Mombasa north corridor(Uganda and South sudan)
 
Sasa sai Mombasa ni 30 million tons nyinyi 2030 38 million????

sent from iPhone 7
Note that we have Tanga and Mtwara Ports both are operational(int vessels)

Without Mentioning Zanzibar and Pemba


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mombasa ni 22 kijana ..leta fact za 30 tuone hapa
Jamaa anapenda kujifurahisha sana. Sisi tunampatia references yeye anajifurahisha.
Tumewapiga kwenye utalii sasa hivi tunahamia kwenye ports. Within 3yrs habari itakuwa nyingie tena kwenye issue za port.
Tanga ipo kwenye expansion
na Mtwara nayo ipo kwenye expansion.
Dogo acha kabisa speed yetu ni kubwa sana hamuiwezi.
 
Machakos na Eldoret wameikimbia Arusha. Mzee wa YouTube na iPhone mpo salama?? Arusha hiyoooo. Leo lazima mpate muscle pull ya vidole kwakuandika sana. Sisi nimapicha. Arusha hiyoooo
Lobo-Wildlife-Lodge.jpg
Ngorongoro_Sopa-Lodge_pool_outside.jpg
Ngorongoro Sopa Lodge-3.jpg
lobo-wildlife-lodge-1.jpg
9148007-capDG.jpg
 
Back
Top Bottom