Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alfu el madator anakwambia kenya to have WORLD CLASS STADIUMS 5 next year ..hiv una akili za utambuzi kweli ..hebu pitia stadium thread ya Kenya skyscrapper city uone upuuzi mnaojenga ...
Wacha kunitaja......yote tisa.LDC is home sweet home. ..ama mnaonewa

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Collo mhzi anakwambia Arusha hamna over 15flrs ...hiv unaijua arusha unaiskia ..kwa hotels tu hamna mji hapo kenya unaofikia Arusha
Arusha is tiny.its a town yes but City hapana

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
I need an aerial view...Eldoret is the world athletics capital

sent from iPhone 7
 
Nikiwa naendelea nakichapo kikali kutoka Arusha. Naomba wenzetu mpitie hii Chat.Kenya nijanga lakitaifa EA kwa sasa.View attachment 540439
Lol......research ya student wa cape town university ndio mnajifariji nayo.A university yenye haiko hata top 800 in ranking....SMH! !!

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Ngoja niwaulize kidogo, is this battle between hotels ama towns? i have loved ngorongoro tho huko lazima nitembee very soon
 
Achana na hiyo forecast ya 2017 ambayo almost imeisha bilakuona la ajabu hapo Kenya, nakupa latest inayo forecast hadi 2025. Dar es salaam number moja Africa lakini tupo kimia. Sio kama nie manyagau. Hahaaàaaaaa Utakimbia hapa.
FB_IMG_1499861080971.jpg
Mpitie hapa pia
684f8b85fe0e79bb01931ec76887f90a.jpg



Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
 
Una tr
Ebu angalia hio graph and please translate to us what you've understood, because this graph shows kenya being much better than Tanzania
una translate vice versa. Hahaaaaa unawewe seka. Atakusoma chat ujui. Wewe kweli mshamba.
 
c954df7007be496a922e59ef04b5d64d.jpg

Anyway kitu cha ngorongoro conversation 18 storey up the ground... 3 storey underground

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cdhan kama capetown ..ina hata 30flr tower ...na bado its a very big city
 
Back
Top Bottom