princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,657
- 19,274
kupima magari uzitoKenyan bana ,kupitia Uzi huu nimejua kuna mada izi ukimtajia mkenya anakimbia kwanza anarudi mpaka mambo yapoe
1. Kumiliki ardhi Nairobi
2. Kujenga dream house Nairobi
3. Makazi ya kawaida ya normal citizens wa Nairobi
4. Technology APA ndo wanaleta bla bla kibao uku mpaka karne hii driving licence wanatumia booklets
5. Chakula huu ni mwiba makali sana kwao kwani njaa haijawai muacha jirani yetu mkenya kila mwaka anaililia Tanzania imlishe ,ila mjue kwa sasa tumegoma kuwa spoon feed tunawauzia ugali na uji sio maindi tena
6. Majengo marefu ,apa watakuletea mpaka antenna wanakwambia ndio urefu
7 . public transportation ya jiji LA Nairobi wakisikia ya DSM wanakimbia kwanza
8 . Ukiwaonesha wa Kenya the only super bridge in East and central afrika ambayo inapatikana DSM ,wanakuletea na wao weigh bridge za Nairobi kwa ajili ya kupima magari uzito![]()
![]()
Uzi uendelee niendelee kuwa study
spensa_e




Chakula ni jipu









ila Dar tumepiga bao sana Kenya
TECNO-C5 Wereva
