Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa Kiasi Fulani nakubaliana na wewe hapa. Sekta binafsi Tanzania sio kubwa kama Kenya. Na hata hivyo skyscrapers nyingi Dar zilikuwa proposed wakati wa Kikwete. Ila ni kweli kuwa miradi ya serikali ya real estate imepata ajali. Angalieni hata ile 5 star hotel ya Mwanza inayojengwa na NSSF! Jengo mpaka leo halijaisha!
Alafu kuna hii issue ya demand kwenye real estate. Nadhani demand iko very low dar kuvutia FDI au hata private investment kwenye hii sector
 
A view like this can't be found anywhere in Tanzania.
IMG_20210430_190421.jpg
 
Towers karibia zote Kenya zinajengwa na private sector, wakati wa boom ya majengo marefu Tanzania kipindi cha Kikwete mingi ilikua miradi ya NSSF na NHC.
Hicho ndicho kipindi pia mifuko ya hifadhi ya jamii ilijenga na kuimarisha misingi ya udhaifu wake. Mashirika ya umma kuwekeza sehemu kubwa ya mitaji yake kwenye real estate kwa nchi ambayo ina sekta changa ya viwanda ilikuwa zaidi ya utaahira.
 
Kwa Kiasi Fulani nakubaliana na wewe hapa. Sekta binafsi Tanzania sio kubwa kama Kenya. Na hata hivyo skyscrapers nyingi Dar zilikuwa proposed wakati wa Kikwete. Ila ni kweli kuwa miradi ya serikali ya real estate imepata ajali. Angalieni hata ile 5 star hotel ya Mwanza inayojengwa na NSSF! Jengo mpaka leo halijaisha!
Mzee unaniita kobe. Umenikosea heshima.
 
Back
Top Bottom