Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa akili zimo kweli kichwani.
Maana yake 1Gb = 1000Tsh
Ni sawa na 43Ksh for 1GB.
[emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Halafu hyo tsh50k ambayo ni sawia na ksh2500 napata 60gb kw kujiunga mara mbili monthly alafu nabaki na jero..

Tanzania data bundle rahisi, rahisi kwio sio[emoji23][emoji23]
 
Hujambo zee la mitandao ya kudandia mitini[emoji23][emoji23]
Halotel nao mtandao[emoji23][emoji23]
Si heri unambie tigo, airtel na zantel
Ndio manake nimekupuuza
Safari com
Screenshot_20210430-003846.png
 
Mzee unatuletea vitu ambavyo havieleweki
Huo mtandao coverage yake ni wapi na wapi wakati safariko 98% ya watumiaji Kenya. Acha ujinga kijana
View attachment 1768345
Telkom kw sasa namba mbili kenya nzima, yani ukiniona kw sasa nimenunua line zao basi ujue ku stream usiulize 4g yao yani ni 4g kweli..hata airtel sai haumi, yani kapigwa bao la mkono..

Alafu nashangaa weye umeleta tigo ndio tulinganishe na saf[emoji23][emoji23]
 
Hii hapa mzee baba[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nikienda mashinani ni mambo na kujiunga mara mbili tu natulia na 60mbs kw wiki zangu mbili tatu wala sina tatizo kw ksh2k tuView attachment 1768346
Unaendeleza upumbavu sasa. Mimi sipendi upumbavu sawa Mzee. Tunaongea kitu tunamaliza.
Tanzania MNOs ni kama:-
1. TTCL very cheap
2. Halotel Cheap
3. Zantel moderate
4. Vodacom moderate
5. Togo moderate
6. Airtel moderate
Competition Tanzania ni kubwa ndiyo maana internet ni cheap.
But sipendi ubishani wa kipumbavu.
 
Telkom kw sasa namba mbili kenya nzima, yani ukiniona kw sasa nimenunua line zao basi ujue ku stream usiulize 4g yao yani ni 4g kweli..hata airtel sai haumi, yani kapigwa bao la mkono..

Alafu nashangaa weye umeleta tigo ndio tulinganishe na saf[emoji23][emoji23]
Mzee acha ujinga basi. Kama unataka tujadili mambo ya maana India upumbavu kichwani. Unadhani utamdangaya nani kwenye zama hizi za teleology!?
Screenshot_20210430-005018.png
 
Unaendeleza upumbavu sasa. Mimi sipendi upumbavu sawa Mzee. Tunaongea kitu tunamaliza.
Tanzania MNOs ni kama:-
1. TTCL very cheap
2. Halotel Cheap
3. Zantel moderate
4. Vodacom moderate
5. Togo moderate
6. Airtel moderate
Competition Tanzania ni kubwa ndiyo maana internet ni cheap.
But sipendi ubishani wa kipumbavu.
Ushindani na wakati nakuwekea screenshots, we vipi bana..km umeshindwa kaa utue maneno mengi ya nn
 
Mzee acha ujinga basi. Kama unataka tujadili mambo ya maana India upumbavu kichwani. Unadhani utamdangaya nani kwenye zama hizi za teleology!?
View attachment 1768349
Kheee[emoji23][emoji23][emoji23]we kweli zuka, kwhyo km mtandao mzuri na unakuja kw kasi ndio tusitumie sisi ee
Telkom kw sasa kenya anazindua na safaricom tu..
Mapambano ya speedtest yeye ndio kaonyesha km ywaja kw kasi ya ajabu ndani ya mda mchache
Screen-Shot-2017-08-05-at-22.52.58.jpg
 
Attachments

  • Screen-Shot-2017-08-05-at-22.51.07.jpg
    Screen-Shot-2017-08-05-at-22.51.07.jpg
    21.8 KB · Views: 16
No wonder muranga county wanapanda kwa wingi,,3 yrs to come Kenya itavunja records kwa hii biashara,,I counted not less than 5 avocado companies coming up in muranga county alone[emoji7][emoji7][emoji7][emoji1732][emoji1732]
Comparee halajiulize ni mikoa mingapi inalima parachichi kwa tanzaniaa afu linganisha na kwenu
FB_IMG_1619177460924.jpg
 
Kheee[emoji23][emoji23][emoji23]we kweli zuka, kwhyo km mtandao mzuri na unakuja kw kasi ndio tusitumie sisi ee
Telkom kw sasa kenya anazindua na safaricom tu..
Mapambano ya speedtest yeye ndio kaonyesha km ywaja kw kasi ya ajabu ndani ya mda mchacheView attachment 1768354
Twende kwanza huku sasa hivi usiku hakuna traffic nikikupatia yangu utakimbia Mzee
Screenshot_20210430-010601.png
 
Back
Top Bottom