The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Mwanzo mgumu ingefaa ujivunie mafanikio haya tuliyofikia EA huko mbele mambo yatakaa sawa, Tz ipo kwa ajili ya East Africa so tutafika mdogo mdogo usijali.Lakini mwishowe polisi akaweka wazungu ama wako tele lazyland ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani amekwambia yeye ndo wakwanza??Mwanzo mgumu ingefaa ujivunie mafanikio haya tuliyofikia EA huko mbele mambo yatakaa sawa, Tz ipo kwa ajili ya East Africa so tutafika mdogo mdogo usijali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msalaba😂😂😂😂😂😂Usijaribu kuamsha simba iliyo lala[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1768933View attachment 1768934
Amazing🤗🤗🤗🤗 sio kama ule msalaba wa ubungo.😕😕Outer ring road, Nairobi Eastlands,vitu Kama hizi dar hakuna 😍
View attachment 1768956View attachment 1768957
Sawa mleta picha angetusaidia hapa ni wapi?!then, hapo sio masaki. naishi huko..
kuna tetesi kuwa mzee wakusafirisha twiga kwa ndege karudi rasmi nyumbani na kuna wadhifu atapewa kiserikaliFunguka kk
Mbona naona mabeberu kibao wamejazana, huyo jamaa atakua sio mzalendo wa nchi yake kabisa..huenda anatumiwa vibaya na mabeberu kuichafua nchi ya mwenda zake jiweTanzania map in ETS2, watanzania tunazidi kuiweka mahali pazuri East Africa katika haya mambo ya game map development, pakua hapa map ya ets2 based on Southern Highlands in Tanzania, don't forget developer wa hii map ni mtanzania mandhari ni ya Tanzania na magari ni ya Tanzania, pakua hapa map yako [emoji116][emoji116]
View attachment 1768970View attachment 1768977View attachment 1768979View attachment 1768980View attachment 1768981View attachment 1768982View attachment 1768983View attachment 1768984View attachment 1768986View attachment 1768987View attachment 1768988View attachment 1768989View attachment 1768990View attachment 1768992View attachment 1768993View attachment 1768994View attachment 1768995View attachment 1768996
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa sio mzalendo kabisa, anatakiwa afunguliwe kesi ya uhujumu uchumiMwanzo mgumu ingefaa ujivunie mafanikio haya tuliyofikia EA huko mbele mambo yatakaa sawa, Tz ipo kwa ajili ya East Africa so tutafika mdogo mdogo usijali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana hizi nchi zetu zinashindwa hata ku host AFCON na mashindano mengine maana hakuna viwanja vya maanaHakuna stadiums more than 5 za maana East Africa, zingine ni glorified grazing fields., hilo pia haujui?., kilaza siku zote..,
Unaitwa Highland Estates
Hasira yote ya nini? Umelisoma Swali langu vizuri? Kuna sentensi niliyoandika kuwa wajenzi “wamekatazwa?” Na kwani serikali Ndio watu pekee wanaojenga towers Dar? Maana kuna kobe mwezio kiakili Venus Star alisema kuwa ujenzi wa towers Dar umepungua kwasababu serikali Imehamia Dodoma.wacha uchoko kwani wajenzi wa towers Dar wamekatazwa? Mbona individuals wanajenga majengo yao? GoT ipo busy kujenga makazi yake Dodoma!
Sina uhakika maana Kuna wakati kulikuwa na boom ya ujenzi wa towers (2015-2019). Kenya kila siku kuna proposed towers na hazikai muda until they are approved. Sisi toka MMF square towers zimalizike in 2019, hakuna hata tetesi ya proposed skyscrapers hata moja.Mi nahisi tatizo liko kwenye sheria yetu ya umiliki wa ardhi...
Sina uhakika maana Kuna wakati kulikuwa na boom ya ujenzi wa towers (2015-2019). Kenya kila siku kuna proposed towers na hazikai muda until they are approved. Sisi toka MMF square towers zimalizike in 2019, hakuna hata tetesi ya proposed skyscrapers hata moja.
Duh kazi ipokuna tetesi kuwa mzee wakusafirisha twiga kwa ndege karudi rasmi nyumbani na kuna wadhifu atapewa kiserikali
HatariHasira yote ya nini? Umelisoma Swali langu vizuri? Kuna sentensi niliyoandika kuwa wajenzi “wamekatazwa?” Na kwani serikali Ndio watu pekee wanaojenga towers Dar? Maana kuna kobe mwezio kiakili Venus Star alisema kuwa ujenzi wa towers Dar umepungua kwasababu serikali Imehamia Dodoma.
Tanzania ka Ulaya, pwahahahaha, huyo pumba hebu atembee kidogo atoke vijijini, ana akili kweli? Huko ni mbali, SA hapa tu, na bado hawafikii hata robo, dadeki nyie! 🤣 🤣 🤣 🤣
Arusha in 1940sTanzanians have the lowest IQ in east africa what do you expect, imagine Venus Star kwao yeye ni expert wa IT😂😂😂😂😂😂
So this's what you call 'London Taste', damn, you've got to be kidding me! 🤣 🤣 🤣 Lord have mercy on thy servant for goodness sake! 🤣 🤣 🤣Arusha in 1940s
It got London taste by then more than 1970s Nairobi, so Nyerere came from the very developed 'London' way back.
So you can Imagine if this was Arusha by then how was Dar?
View attachment 1769237View attachment 1769238View attachment 1769239View attachment 1769241View attachment 1769242View attachment 1769243
Bongo huwa tunajenga, hatujengijengi vitu vya hovyo kama kule kwa Wakunyaland.Kiflyover cha mita mia moja, kimechoka mbaya[emoji23][emoji23]View attachment 1768694
Kwa hivyo, private sector hawaruhusiwi kujenga skyscrapers Tz sio?Towers karibia zote Kenya zinajengwa na private sector, wakati wa boom ya majengo marefu Tanzania kipindi cha Kikwete mingi ilikua miradi ya NSSF na NHC.