Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka peupe mention network pia so I can confirm from their website., Kama ni zile special offers ama normal rates., Propaganda kwangu haipiti!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
500tsh is 100mb!!!., balaa., Kenya Kshs 20 is 200mb!!.,
We kweli taahira, ksh 20 ni mb ngapi? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Screenshot_20210429-204154.png
 
Weka peupe mention network pia so I can confirm from their website., Kama ni zile special offers ama normal rates., Propaganda kwangu haipiti!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.,
500tsh is 100mb!!!., balaa., Kenya Kshs 20 is 200mb!!.,
Bei za mitandao yote hazitofautiani Mzee.
Wewe leta costs
Screenshot_20210429-181910.png
 
kwann sio kenya?[emoji23][emoji23]

sema nn, mim ni mdau mkubwa wa ujenzi wa viwanja vya mpira vya kisasa.. serikali sijui haioni fursa ya kujenga hata viwili vikubwa [emoji29]
  • tuna population kubwa
  • mpira bongo ndo unashamiri saiz
  • mashabiki kuingia uwanjan wapo wengi kuliko kipindi cha nyuma
 
Alafu nchi nyingi zimeomba kutumia huu uwanja hivi kuna pesa watatoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili fupi imejianika tena[emoji23][emoji23][emoji23]., Kuna mahitaji ya nchi, na sio tu flyover, CCM imewafilisi hadi ubongo , in Tanzania lazima u sacrifice mahitaji ya sehemu kwanza, utatoa pesa wapi? Your annual income iko wazi and National budget pia., Sasa wewe mwenye unajiona mjanja na akili ndefu start breaking down vis a vis recurrent expenditure nione the far u can go!., start am here..,
Umenikumbusha siku ile PLO Lumumba kwenye kipindi cha kibeberu cha Straight Talk Africa alisema " ... Kenya kuna ufisadi na rushwa at 'industrial scale'..." [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa wewe pia ujinga wako ni at "industrial scale". Yaaani kwamba wewe unayetoka huko kwenye nchi ya njaa unajua vipaumbele vyetu kuliko sisi! [emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi hatuhitaji kusacrifice kitu ili kufanya miradi mikubwa kama Magufuli bridge(s), JNHPP, wami bridge, au hizo flyovers.

Bali nyinyi ndiyo mnahitaji kusacrifice jirani zenu ili kuwaridhisha mabwana zenu wanaowaweka mjini.
 
Back
Top Bottom