Tanzanature
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 235
- 505
Mkuu, hiyo digidigi imepotea jukwaa. Ina-belong kule jukwaa la siasa sasa imepotea njia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mkopo gani ulikopwa na kwa mradi gani naomba ufafanue mkulima wa parachichi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kauli zenu haziendani[emoji23][emoji23]Mkuu ioo no expire bongo imepitwa kitambo sana kama miaka 7 nyuma ukoo kipindi cha kikwete na ni mambo ya kimaskini saizi mfumo usha badilishwa ukitaka uendelee kulitumia bundle lako ambalo halijaisha unatakiwa ununue kifurushi kile kile kabla mda wake kuisha wanakuongezea bundle zako
Pole sanaKenya mtandao ni safaricom waliobakia wote kwangu pakavu tia mchuzi na facts zinaangalia kwenye mitandao ya watu wengi ndio wanapotafuta statistics kenge wewe
"...started an ambitious plan ......". Hapa tunazungumzia vitu ambavyo viko hai na si vitu vilivyoko ndotoni. Umeelewa?View attachment 1767489
"Preferred in Europe where Kenya exports it, Hass avocado might as well be the new gold. So much so that even the Kenya Prisons started an ambitious agricultural plan to boost the production of avocado with an eye on the export market by multiplying and distributing seedlings to agricultural communities."
Hoja kwishaa[emoji23][emoji23]
Too expensive kw maneno yako lkn sio hapaView attachment 1767620View attachment 1767622View attachment 1767623
Hoja kwishaa[emoji23][emoji23]
Too expensive kw maneno yako lkn sio hapaView attachment 1767620View attachment 1767622View attachment 1767623
Aiseee, umenifurahisha sana. Ujue maisha tunayoigiza humu mitandaoni yako tofauti sana na kwenye uhalisia. We must protect our society from social invasion.Hvi tuchukulie ww ni mzazi na tuongee frank kabisa mtoto wako wa kike aje na mimba nyumbani ww kama mzazi utafanya nn
Hata kusoma pia umeshindwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia tena, gb mbili plus gb mbili night data kw ksh100..
Kipi hujaelewa hapo[emoji23][emoji23]
Ukitaka ya night data iko pia 5GB kw ksh50View attachment 1767713View attachment 1767717
Mzee exposure yako ni ndogo. Jielimishe kwanza.Nipo uhuru park bado[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1767841
Unatafuta njia ya kutokea๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNipo uhuru park bado[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1767841
Au ndio ule maemo mvua kidogo ngโombe kaoga kichwa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMkuu, hiyo digidigi imepotea jukwaa. Ina-belong kule jukwaa la siasa sasa imepotea njia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepanic au ??? ๐๐๐๐Pole sana
Absolutely, unajua huwez ona uzito wa jambo mpaka likufike hakuna aibu kama mtoto wa kike kurudi na mimba nyumbani ni aibu iliopita mipakaAiseee, umenifurahisha sana. Ujue maisha tunayoigiza humu mitandaoni yako tofauti sana na kwenye uhalisia. We must protect our society from social invasion.
500(Ksh 23) 150mb!!!!๐๐๐๐.,
Huyo ameshaweka silaha chini mkuu, nilikuwa namkubali sana ila vitu vidogo vidogo vimemtoa kwenye reli and now anaenda kuwa against us, so mwache afanye anavyoweza ila cc mwendo ni ule ule.Mzee hasira ya nini!?
Hapa tupo kwenye battle kati ya Kenya na Tanzania.
Halafu wewe mtanzania unataka tuanze kukueleza mambo ya Tanzania are serious!? Unajua vita kweli Mzee!?
Umeongelea kuhusu
1. skyscrapers hapa dar
2. Watoto kufukuzwa shule
Mzee hebu kuwa serious. Hiyo issue ya watoto kuna maandiko mengi mno na yalishatolewa ufafanuzi.
Tafuta maandiko hayo.
Convert then do comparison analysis uone vile mko ovyo๐ ๐๐๐.,Mzee huo ni ushamba mambo ya expiry tulishayaacha 2014. Kila kitu sisi unachokifanya no expiry.
View attachment 1767800