Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ila wewe kilaza ni special case

Ungesubiri nikutatue [emoji1787]
Mataga hamjambo[emoji2960][emoji2960]
Hoja kwisha sasa mumebaki na khanga zenu viunoni tu kw ajili ya unenguaji..
 
A honest observation, reality kwa ground. Possibly economic and political factors, propaganda can't grow a country. My hypothesis.
What about dodoma investments 🀣🀣 huulizi hio kuna zaidi ya 1.5b usd imelala pale
 
Vp kuhusu dollar billionare btn tanzania and kenya ??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yani nchi nzima billionares wamejirundika nairobi wakat tanzania kuna billionares wengi kuliko kenya na wametapakaa nchi zima
 
Jamaa kabaki na maneno ya kwenye khanga tu sasa, mwenzake kakimbia mada mapema tu..
Eti 1gb ni $2.25, kenya ipi hyo[emoji23]
Labda kenya ya chato
So unakataa au??πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Bwahahaa[emoji23][emoji23]
Telkom kw sasa wana wateja lukuki we kumbe unaumwa, watu sai wanatumia telkom balaa km hujui..
Telkom wana mpka 4g network alafu we unakuja kupiga kelele hapa


Mtu kenya hakosi safaricom kw sababu ya mpesa tu
Kenya mtandao ni safaricom waliobakia wote kwangu pakavu tia mchuzi na facts zinaangalia kwenye mitandao ya watu wengi ndio wanapotafuta statistics kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…