Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,226
Mwendazake Alijenga 3500km Za lami nchini kwa kipindi chake...nukuu kutoka kwenye hotuba ya raisi SSH Jana
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kwenye nuuku ya mama pia, Kikwete katila miaka yake 10 alipeleka umeme vijiji 2018.
Magufuli miaka 5 alipeleka umeme vijiii 8300+.
Yaani kwa speed ya utekelezaji wa Kikwete ingechukua miaka 40 kufanya alichofanya Magufuli kwa miaka 5.
