Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa matumaini mengi sana 🤣🤣🤣 toka mobius mumezindua mumemuuzia nani na nani?? Na kampuni imegengeza profit gani?
Am not the CEO nor the Marketing Director of Mobius Co., so kafanye mwenyewe huo uchunguzi. Na btw, mtu hununua akipendacho kutegemea hela aliyonayo!
 
Alaf arusha wafananishe na ushuzi unaitwa kisumu 😅😅😅😅
Uliona wapi TRAFFIC LIGHTS 🚥 zinafanya kazi, half of the time??? Yaani Wachina wamewauzia ma toy ya 'Zhongshan Guzhen' mkaeka mkidhani original, dah! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tena nachukulia poa sana isuzu yani ipo kama haipo magumashi matupu
Kumbe unaumia
Isuzu inapita popote pale kw taarifa yako, we unajua nini kuhusu magari bana zaidi ya kujitia ujuaji..
Isuzu ni one of the beasts jomba, km kumeza ngumu tema tu
 
Unatuletea umbea wa kibera. Wewe kama unaleta taarifa ya ukweli, kwanini usilete source ya staarifa yako!?

Simple, without reliable source, tunaita umbea.
Tena unajua maana ya umbea au unajiropokea tu, sasa kwa akili zako wewe uongo sio..
Haya keti ukiishi km hvyo vitu alivyoleta katoa katika fikra zake wala sio ukweli kabisa, happy now mr "something"
 
Waona upumba ulivyokujaa, hivi nikuulize, kampuni zikiendelea kuwa pana, hawaruhusiwi kufungua branches zingine pahala watakapo kwa uwezo wao na maelewano na wenyeji? Hizo ni investments, dadeki!
Kupanua kwani isuzu ni kampuni ya kenya ?? 🤣🤣🤣 isuzu kenya ilishafeli na kashafika mwisho sasa kaona aje moja kwa moja tanzania ajaribu bahati yake
 
GDP ndio kila kitu linapokuja swala la uchumi katika nchi, na ukumbuke nchi yenye uchumi imara kupata maendeleo haikawii bora mpate kiongzoi bora tu..

We unafikiria kenya bila ufisadi sai tungelikua wapi ki nchi licha ya skendo zote zile, yani ukanda huu ingelikua hamtugusi jomba wenzetu wangelikua akina sauzi sema tu viongozi wanatubwaga lkn hapo hapo ma lazy tunawagonga
Nakuambia hv siku wataanza ku deduct Loans from country's GDP njoo tuongee.

Ngoja nkurahishie

GDP = C + I + G + (X-M)

Where, C is consumption
G is government spending


Ss mm nataka siku waki introduce deduction of loans from I and G hapo ndo uje tuongee ushuzi wa GDP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom