Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Hehehe, tueleze hebu, hizo company Zilianzishwa na nani huko Tz? 😂Mzee tunawaachia hiyo Tahmeed na hizo ulizo orodhesha. Twende na battle sasa. Acha Julia lia.
Hehehe, tueleze hebu, hizo company Zilianzishwa na nani huko Tz? 😂Mzee tunawaachia hiyo Tahmeed na hizo ulizo orodhesha. Twende na battle sasa. Acha Julia lia.
Nimekuuliza swai boss wa tahmeed anaitwa nani??? Au hujui hata governor wa mombasa joho ametokea kwnya kwa baba na mama ??Hehehe, tueleze hebu, hizo company Zilianzishwa na nani huko Tz? 😂
Olaaaaaa!, watoto wa shule ndio wanachezea shuleni ka "School buses" olaaa! Umeona! 🤣 🤣 🤣Nimeona 😀😀View attachment 1757002
Na hii ni nini ???👇👇👇👇These are the real Mercedes Benz. Mtu asikuletee hapa Bharat Benz eti anakuambia ni Mercedes.
View attachment 1757008View attachment 1757012
🤣🤣🤣
Naona sasa zile company nyingi zimeanza kutokeza!? 🤣 🤣
Kilugha chenu hii munaitaje 🤣🤣👇These are the real Mercedes Benz and Arizar. Mtu asikuletee hapa Bharat Benz eti anakuambia ni Mercedes.
View attachment 1757008View attachment 1757012
Hujaona hapo juu, school Boys wako nazo shuleni, wanaendea school trips! 🤣Na hii ni nini ???👇👇👇👇
View attachment 1757019
na abiria iko wapi?? 😀😀😀 ukipata nitagHujaona hapo juu, school Boys wako nazo shuleni, wanaendea school trips! 🤣
Yani amegoogle tu bus companies in Tanzania na akazuangusha.🤣🤣Naona sasa zile company nyingi zimeanza kutokeza!? 🤣 🤣
Mbona hunijibu kilugha chenu munaitaje hii🤣🤣🤣👇👇👇🤣🤣🤣
Tafuta irizar new model kama hii kenya nzima ukipata let me know🤣🤣👇👇👇Hujaona hapo juu, school Boys wako nazo shuleni, wanaendea school trips! 🤣
Njooni muone ushuzi sasa 😄😄😄😄