Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Kwa hivyo hio video niliyokuwekea ya US soldiers wakitumia ndege hii Afghanistan wakiwa vitani hujaitazama? Sasa unataka tuendelee vipi na mjadala kama hutaki kujifunza? Basi unanipotezea muda wangu bure. Wacha yaishe.Mzee hiyo imeandikwa kabisa light. Ni specific kwa ajili ya police kuwinda Fisi na Nungunungu. Au kwaajili ya kutawanya nzige Mzee.

