Hii inaitwa BM-30 au PHL-03
ballistic missile. Zipo zaidi ya 50.
Ukiiona Tanzania tumetulia ujue tunaogopeka sana.
View attachment 1755679View attachment 1755680
Hiii ni surface to air missileHio ni surface to surface missile
Mimi sijasema kwamba hizo ni air to air. Nimesema hizo ni surface to surface.Uongo nenda kajifunze surface to surface missile kijana. Wewe endelea na kazi yako ya u Cashier. Itakusaidia sana. Au Kanzi ya Account imekushinda!?
Air to air zinatoka kwenye fighter jets.
Nilijua tu wanakuchokoza na wanachokitaka watakipata na wameshakipata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi nenda ukawasaidie ndugu zako wananjaa.
Hii inaitwa SA-3 Goa
Tumezisimika pote mpakani.
Zipo zaidi ya 50
View attachment 1755676View attachment 1755677
Kijiografia tu tushawapiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunaipandisha tu mlima Kilimanjaro tunajipigia kanairobi kama tunacheza game vile! 😀 😀 😀 😀
Uongo nenda kajifunze surface to surface missile kijana. Wewe endelea na kazi yako ya u Cashier. Itakusaidia sana. Au Kanzi ya Account imekushinda!?
Air to air zinatoka kwenye fighter jets.
ichoboy01 na Venus Star msipingane na mambo ambayo hamuyaelewi. Hio BM-27 ni surface to surface missile. Ndio hii hapa evidence. Nyinyi hata hamjui surface to surface missile zinafanana vipi 😁.Hiii ni surface to air missile
| Learn more This article needs additional citations for verification. |
Unajua maana ya surface to surface au unaropoka tu!? Unajua kirefu cha SA!?Mimi sijasema kwamba hizo ni air to air. Nimesema hizo ni surface to surface.
Hapa tunaongelea BM na SA kijana ondoa ushamba wako.ichoboy01 na Venus Star msipingane na mambo ambayo hamuyaelewi. Hio BM-27 ni surface to surface missile. Ndio hii hapa evidence. Nyinyi hata hamjui surface to surface missile zinafanana vipi 😁.
Wacheni ujinga.
Rocket (weapon)
A rocket is a self-propelled, unguided weapon system powered by a rocket engine. Rockets are used primarily as medium and long-range artillery systems, although historically they have also seen considerable use as air-to-surface, some use as air-to-air weapons, and even a few examples of surface-to-air devices. Examples of modern surface-to-surface rocket systems include the BM-27 Uragan
Learn more
This article needs additional citations for verification.
Ninazungumza kuhusu BM-27 uliyopost kwenye picha yako. Sizungumzi kuhusu SAM.Unajua maana ya surface to surface au unaropoka tu!? Unajua kirefu cha SA!?
Unadhani hizo ni sawa na magobore yenu!? Sasa kama SA ni surface to Surface TANK zitakuwa na kazi gani!?
nimekwambia ubongo wako ni mdogo sana. Wewe endelea kuwasaidia matajiri kutunza pesa zao. Mambo haya achana nayo.
Hapo kwa kushika pesa za matajiri unatupiga wengi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unajua maana ya surface to surface au unaropoka tu!? Unajua kirefu cha SA!?
Unadhani hizo ni sawa na magobore yenu!? Sasa kama SA ni surface to Surface TANK zitakuwa na kazi gani!?
nimekwambia ubongo wako ni mdogo sana. Wewe endelea kuwasaidia matajiri kutunza pesa zao. Mambo haya achana nayo.
Sisi tumewekeza sana kwenye ndege za kivita. Tutalipua hivyo vijidude utadhani takatakaHapa tunaongelea BM na SA kijana ondoa ushamba wako.
Leta weapons zenu hapa. Au umeanza kuogopa!?
Ndugu yangu unajua hawa sio wa kuongea nao kimzaha mzaha kama kupiga unapiga panapo uma.Hapo kwa kushika pesa za matajiri unatupiga wengi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee tupo kwenye battle au unajisahaurisha!? Onesha weapons zenu.BM-27 ni surface to surface. Mbona unamtetea ichoboy01 anaposema kimakosa kwamba BM-27 ni surface to air. Ama unaogopa kumrekebisha?
Zilete hapa tuzione maana najua mpo na F-5 Rejected fighter. Zilitumika miaka ya 1960sSisi tumewekeza sana kwenye ndege za kivita. Tutalipua hivyo vijidude utadhani takataka
Kumbe hawasomi vitu vingi km sisi?Ndugu yangu unajua hawa sio wa kuongea nao kimzaha mzaha kama kupiga unapiga panapo uma.
Uzuri sisi watanzania tunasoma mambo mengi. Pamoja na kwamba ulisoma Accounts unajua sayansi, unajua geography, unajua kilimo. Sisi Tanzania tunajua mambo mengi.
Elimu ya Kenya ni kwamba huyu jamaa ujanja kaupatia humu humu JF wanakuwaga na narrow mind.
Umeshawahi kuisikia hii self-propelled artilery inayoitwa Nora B-52?Mzee tupo kwenye battle au unajisahaurisha!? Onesha weapons zenu.
Umekula lakini!?
Ndio maana tukiwagonga wanakimbia hawana exposure kwenye knowledge.
JPM alipenda sana jeshi
Parade square grounds at on going JWTZ HQ construction project in Dodoma
View attachment 1755581View attachment 1755582View attachment 1755584View attachment 1755585View attachment 1755586View attachment 1755587View attachment 1755588
Kuna kipindi walikuwa wanajisifu kuwa na F-5 humu tukawatoa ushamba kwamba hayo madege ya kizamani sana ndio wakaacha upuuzi, Wakenya washamba sn jamani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Zilete hapa tuzione maana najua mpo na F-5 Rejected fighter. Zilitumika miaka ya 1960s
Vita vya Idi Amin, wakati hata vifaa vya kisasa bado kulikuwa hamna,, bure kabisa!