Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Askari wa Kenya huwa wananichekesha sn wakitaka kupiga picha huwa wanaweka pozi la kwenye movie ili wafanane na askari wa US, ushamba mzigo wallahi
[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji117][emoji529][emoji529]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona hili zuka, we unafikiria unaweza kuwapiga picha recce kirahisi rahisi hvo, hapo walipigwa pasi kujua[emoji23][emoji23]..

Njoo ujaribu uone gari la GSU linapita we uwapige picha wazi wazi alafu ndio utajua
 
Ona hili zuka, we unafikiria unaweza kuwapiga picha recce kirahisi rahisi hvo, hapo walipigwa pasi kujua[emoji23][emoji23]..

Njoo ujaribu uone gari la GSU linapita we uwapige picha wazi wazi alafu ndio utajua
Eti walipigwa picha bila kujua, ok ngj nikubaliane na maoni yako but nambie walikuwa kwenye mission gn hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajichekesha huku unajibu kwa aibu, jaribu muone tutakachowafanya na kwa ss jinsi tulivyo hatuna huruma tunateka kila kilichochenu maamaeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kuleta[emoji23][emoji23]
Natoka jf mimi siku ukinionyesha mlishinda vita wapi km nchi
 
Umeshindwa kuleta[emoji23][emoji23]
Natoka jf mimi siku ukinionyesha mlishinda vita wapi km nchi
Hata nyinyi mngekuwa sisi, hamgewashinda hao alshabab, bora sisi twajaribu. USA hadi wa leo wanatoka Afghanistan, na bado Alqaeda na ISIS wapo hawajaisha na hapo ukumbuke ni the USA pamoja na nchi zingine zilikuwa kule. Terrorism sio kitu cha siku moja, so wacheni kuvimba mnapocharaza kundi la vijana ambao hata vifaa vya maana hawana.
Sahi mwambie mwende Libya huko mkasaidie vikosi vya serikali kuangamiza waasi wa ISIS, mtaenda nyie "makomandoo"? 😂 😂 😂
 
Tanzania mumeshinda vita gani km nchi[emoji23][emoji23], ukinionyesha natoka jf mimi..
Wakenya mnaumia kweli kweli tunapoongelea kuhusu vita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Msitulaumu sisi muwalaumu malazy boy wa KDF kwa kuwalipa mishahara lkn wanaishia kuiba mikate na pipi [emoji516][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom