komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ukweli ni kumuuliza mkenya km tz walishinda vita lini


We kumbe bwege sana, hata nishakudharau
Ukweli ni kumuuliza mkenya km tz walishinda vita lini


hebu mention vita na mission mlizopigana kenya kisha mention vita/ mission iliyopambana Tz kisha comoare....Atakwambia walishinda vita vya komoro. Nchi yenye watu wasiozidi milioni moja wanaoishi kwenye kisiwa kidogo.


muache ujinga wakenya ,,jeshi lenu halikuwa na wala halina impact yeyote kwa hapa africa hakuna mlichokifanya ,,,,mpo so weak huo ndiyo ukweliTena na dagaa wa kukaanga, kudadadeki! Kwanini nisishibe? 😂Alaa!!kumbe shibe![]()
Wakenya mna maisha magumu mnoTena na dagaa wa kukaanga, kudadadeki! Kwanini nisishibe?![]()



Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996–1999), MONUA in Angola (1997–1999), and UNTAET in East Timor (1999–2001).hebu mention vita na mission mlizopigana kenya kisha mention vita/ mission iliyopambana Tz kisha comoare....
na ukimaliza jichekemuache ujinga wakenya ,,jeshi lenu halikuwa na wala halina impact yeyote kwa hapa africa hakuna mlichokifanya ,,,,mpo so weak huo ndiyo ukweli
Sisi tuko Somali huku, hawa ndio adui wetu(alshabab) sio kila pahali tunapigana, tuna kazi za kujenga taifa pia sio vita tu



kwanin miaka yote ya nyuma hamkuingia huko somali,,,?.. huo ni mpango wa USA si mpango wenu ndiyo maanajeshi lenu linalipwa na kusaidiwa vitendea kazi,,,,Ungejua tu, hungesema hivyo. Ungenipa shikamoo! Hii menu siya ugumu, ni menu niipendayo. Kipendacho moyo....
ulikuwepo...?Ona hili zuka, we unafikiria unaweza kuwapiga picha recce kirahisi rahisi hvo, hapo walipigwa pasi kujua..
Njoo ujaribu uone gari la GSU linapita we uwapige picha wazi wazi alafu ndio utajua
Sawa.Ungejua tu, hungesema hivyo. Ungenipa shikamoo! Hii menu siya ugumu, ni menu niipendayo. Kipendacho moyo....
Hata ISIS walianza hivyo hivyo, wacha tuchukue experience. Kufa kwa mwanajeshi sio jambo la kumaka, alishakula kiapo. Alafu ujue tuliwavamia Alshabab, sio Somalia. Hao ndio walileta za ovyo huko Lamu ikabidi tuwafwate, soma taarifakwanin miaka yote ya nyuma hamkuingia huko somali,,,?.. huo ni mpango wa USA si mpango wenu ndiyo maanajeshi lenu linalipwa na kusaidiwa vitendea kazi,,,,
nyie kama nyie hamhwezi kusimama na msingeenda huko,,,,nyie ni chambo wa US...
jeshi lenu ni dhaifu mara dufu,,,ila huko kidogo mnapata experience ya vita ila bado sana mna kazi kubwa
nawewe onyesha vita mliyopigana wakenya hata moja baina ya nchi na nchi....Kwanza mlipigana vita gani km nchi achi mbali kushinda![]()




Kumbe hii niliisoma kitambo, yaani hawa jamaa bado wako kambini wanachapa kazi tu!? 🤣nawewe onyesha vita mliyopigana wakenya hata moja baina ya nchi na nchi....
ujinga ndiyo akili iliyobakia kichwani kwakoView attachment 1755509
Hujui unachosema wewe. Kwa muda wa karibia mwaka mmoja wa kwanza tulikuwa tunatumia taxes zetu kupigana vita hivyo. Wakati huo mission hio ilikuwa inaitwa operation "Linda Nchi." Na UN au AU au US haikuwa inahusika popote. Baada ya Kenya kuteka Kismayu na Jubbaland province ndio tukajiunga na Amisom. Jifunze mambo kabla ya kuzungumza.kwanin miaka yote ya nyuma hamkuingia huko somali,,,?.. huo ni mpango wa USA si mpango wenu ndiyo maanajeshi lenu linalipwa na kusaidiwa vitendea kazi,,,,
nyie kama nyie hamhwezi kusimama na msingeenda huko,,,,nyie ni chambo wa US...
jeshi lenu ni dhaifu mara dufu,,,ila huko kidogo mnapata experience ya vita ila bado sana mna kazi kubwa
na watakufa kama kuku,,,, kwa jinsi jeshi lenu lilivyo weak na poor poor trainers hata mkipewa bom la nuclear mkaambiwa ibutueni Tz mnaweza mkaset mtambo mkaugeuzia kwenu mkajua kuwa mmeuset upande wa Tz na mwusho wa siku mkajifumua wenyewe...Njoo uwapige picha pale airport alafu ukimbie mbio![]()






chief ukweli upo hivi vita si vizuri lakini uhalisia wa mambo kuna tofauti kubwa sana kwenye umakini na upande wa ueledi wa kijeshi baina ya hizi nchi mbili....Ombeni sana wale jamaa wasiwe ka alshabab, mtatoa vilio tuje wenye experience tuwape support mkuu!![]()
![]()
![]()
Genaral wenu kapitia huku huku piana watakufa kama kuku,,,, kwa jinsi jeshi lenu lilivyo weak na poor poor trainers hata mkipewa bom la nuclear mkaambiwa ibutueni Tz mnaweza mkaset mtambo mkaugeuzia kwenu mkajua kuwa mmeuset upande wa Tz na mwusho wa siku mkajifumua wenyewe...
jeshi lenu halifundishiki. over![]()


Nchi na nchi 🤔 haha Kenya tupigane na nani wakati hatuna uadui na nchi yoyote ile? 😂nawewe onyesha vita mliyopigana wakenya hata moja baina ya nchi na nchi....
ujinga ndiyo akili iliyobakia kichwani kwakoView attachment 1755509
Waulize mashababi kilichowakuta mpka kucha makaazi yaochief ukweli upo hivi vita si vizuri lakini uhalisia wa mambo kuna tofauti kubwa sana kwenye umakini na upande wa ueledi wa kijeshi baina ya hizi nchi mbili....
jeshi lenu la kenya bado sana pamoja na kuwa na bajeti kubwa ,,hapo well trainers ,,bado mna safari