Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Huyo Komora ni MkenyaNimekuuliza swali, unaropoka. Hii dunia ina mambo 😂
Huyo Komora ni MkenyaNimekuuliza swali, unaropoka. Hii dunia ina mambo 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] hata haibu huoni....Kwn tanzania km nchi ime win vita gani hvyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wapo vitani[emoji23][emoji23]Wakenya mnaumia kweli kweli tunapoongelea kuhusu vita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msitulaumu sisi muwalaumu malazy boy wa KDF kwa kuwalipa mishahara lkn wanaishia kuiba mikate na pipi [emoji516][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa waeza sema alikuwepo! 🤣 🤣 🤣Wakenya mnaumia kweli kweli tunapoongelea kuhusu vita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msitulaumu sisi muwalaumu malazy boy wa KDF kwa kuwalipa mishahara lkn wanaishia kuiba mikate na pipi [emoji516][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
System yangu niya kupata information za uhakika, nikitaka!
Hahahaha umeona udhaifu uliopo kwenye jeshi lenu? Yani mtu akitaka anaingia tu anachukua data kirahisi kabisa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86]Hahaha!!ole wako
Mzoee tu huyo ndivyo alivyo anaropoka sana, kumbe ushamjua eehh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuuliza swali, unaropoka. Hii dunia ina mambo [emoji23]
kama huyo mmoja anajiita expendable man[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Askari wa Kenya huwa wananichekesha sn wakitaka kupiga picha huwa wanaweka pozi la kwenye movie ili wafanane na askari wa US, ushamba mzigo wallahi
[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji117][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205][emoji117][emoji529][emoji529]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita na child soldiers, tena bado mkagaragazwa!Wanaume wapo vitani[emoji23][emoji23]
We unaongea nn bana, wa kike ndio wapo kambini wanafugwa..
Bado hujapata vita tanzania imepigana achia mbali kushinda..
Narudia tena, tanzania km nchi ilipigana vita gani
Km taarifa za kifo alizopata lissu huku nyie mkizipinga vikali[emoji23][emoji23]Hahahaha umeona udhaifu uliopo kwenye jeshi lenu? Yani mtu akitaka anaingia tu anachukua data kirahisi kabisa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mkenya asiambiwe ukweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Komora ni Mkenya
Njoo uwapige picha pale airport alafu ukimbie mbio[emoji23][emoji23]kama huyo mmoja anajiita expendable man[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ni vichaa wanafikiri gwanda hizo zipo kwaajili ya fashion show
Hahahahaaa unaendelea kumpa vidonge tu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545]Vita na child soldiers, tena bado mkagaragazwa!
Hapa nateuka nguna mzeebaba! 🤣Mi namshangaa jomba, sijui ni swaum imembana nini[emoji23][emoji23]
kimwizzy taratibu mzee baba, alafu pole kw mfungo
hatuna mission yeyote ya kuingia ndani ya msumbiji hawajatuomba na wala hawajaingia agreement na Tz ,,Kule msumbuji sio, ama nimekosea?
Huyo komora ni demu mkuu.Hapa nateuka nguna mzeebaba! [emoji1787]
Ona sasa na wewe keshakuchanganya tayari, inamaana kumbe na wewe husomi ni mwenso wa ku quote tu..Mzoee tu huyo ndivyo alivyo anaropoka sana, kumbe ushamjua eehh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ombeni sana wale jamaa wasiwe ka alshabab, mtatoa vilio tuje wenye experience tuwape support mkuu! 🤣 🤣 🤣hatuna mission yeyote ya kuingia ndani ya msumbiji hawajatuomba na wala hawajaingia agreement na Tz ,,
hivyo kila mtu analinda mipaka yake,,ndiyo maana hawajileti bongo wanajua mziki wake jinsi ulivyo
Alaa!!kumbe shibe[emoji2960][emoji2960]Hapa nateuka nguna mzeebaba! [emoji1787]
Najua wapi! 🤷🏾♂️