Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Tupo pamoja mzee sijui wenzetu uko na zao za kuchora sijui itakuwaje kama Hapa kwetu wazee wanatanua pamoja na uzio sasa kule Kwa wenzetu na imaginary lines sipati pichaa
Feshaya brt phase 3 iliingia kwahyo huo Mradi utafuata huu mwaka hauishi
 
Wee..tumeshamaliza mjadala, nadhani ilikua hujui kazi za wizara lkn nimeona kidogo zimekukaa sawa sasa baada ya kukupeleka mbio..

Mada imekwisha, km utaendelea endelea pekea yako,
Ulimaliza kua cs macharia sio mkuu wa wizara ya uchukuzi 🤣🤣🤣🤣 na kwamba kq inamiliki ndege tatu chakavu miaka 40
 
Uzuri ndege tulizikopa, anko magu #rip katoa hela za barabara na hospitali kufufua maiti ya actl mwishoe yeye na shirika wote futi sita chini😂😂😂😂
Tanzania ina paved road 13000km na 2000km ziko underconstruction kenya haizidi 10000km au nasema urongooo😅😅😅 tanzania imejemga vituo vya afya kila kijiji tanzania

Ndege muliZokopa miaka 40 na munamiliki ndege tatu chakavu mpaka kesho alaf munatafuta mchawi wa loss ya 333m usd
Mumeona mbele na shirika linafkisha hasara ya 333m usd🤣🤣🤣🤣 hio hela inawez nunua dreamliner mpya na cessna caravan 20 na change ikabaki
 
Hvi vitu kenya watavipata miaka 100 ijayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapa Tupo pamoja mzee sijui wenzetu uko na zao za kuchora sijui itakuwaje kama Hapa kwetu wazee wanatanua pamoja na uzio sasa kule Kwa wenzetu na imaginary lines sipati pichaa
Tofauti ni kwamba Tz tulikuwa na utaratibu mzuri wa kuacha nafasi katikati which means tulikuwa na plans za muda mrefu lkn wenzetu hawakuwa na plans hizo ndio maana inakuwa ngumu kujenga system ya BRT, kwa mfano angalia Thika ili waweke BRT itawabidi wafanye uharibifu fulani pale kati au wachore km walivyojaribu but hata wakichora itawabidi waifumue Thika pale kati ili wajenge stations za BRT, otherwise waachane na mpango wa BRT au waendelee na ujenzi wa juakali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…