Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1618136347.254430.jpg
IMG_1618136366.197793.jpg
 
Naona mama Samia kavaa mask katika hafla inayofanyika Uganda. Hio ni ishara nzuri kwamba Mhe Samia anaheshimu sayansi na hafuati ramli zinazopigwa na waganga vijijini. Corona haina tiba na haitibiwi kwa uganga wala uchawi, fuateni sayansi muwache mambo ya kupiga nyungu.
Jana Amina Mohamedi aliingia ikulu kwa mama Samia akiwa amevaa barakoa, ametoka akiwa hana barakoa.
 
Guys mnamsikiliza vizuri Yoweri Msibani? kweli wema ni akiba leo nmeamin hakika.
 
Back
Top Bottom