Kujenga bandari ya Bagamoyo is just a bad idea. It is not as if Tanzania has few ports. Tanzania tayari ina ports tatu kwenye Indian ocean zinazofanya kazi (Dar, Tanga na Mtwara) so sioni haja ya kujenga port nyingine mpya, kwanza green-field port ambayo itagharimu pesa nyingi. Kwa nini mnataka kupoteza hela yenu bure? Kenya ina port moja tu ilhali hio port moja inapakua mizigo mingi kushinda Bandari zenu tatu zilizo kwenye ufuo wa bahari la hindi. Kenya ndio ina haki ya kujenga bandari la pili ili kupunguza pressure kwenye Mombasa port hususan ukizingatia kwamba Mombasa port inaserve Kenya na Uganda kwa pamoja. Kenya ndio inastahili kujenga port ya pili lakini sio nyinyi. Nyinyi mnastahili kuongeza efficiency na kuexpand existing ports ili ziwe kubwa na zenye uwezo wa kuhandle cargo nyingi. Ports zenu bado ni ndogo ndogo sana. Dar port tayari imepanuliwa, Tanga na Mtwara pia zinapanuliwa. Mumeshatumia pesa nyingi kupanua bandari zenu sasa mbona mpoteze pesa kujenga bandari mpya wakati bandari zenu zinapanuliwa na hata hazijaanza kutumia new capacity. Mbona msingoje port zenu zitumie new capacity kwanza hadi zijae ili mjenge port nyingine? Au mnataka tu kujenga ili ionekane kwamba serikali yenu inafanya kazi hata kama hakuna misingi yoyote ya kujenga Bagamoyo port? Sioni haja ya kujenga Bagamoyo port karibu na Dar port. Huo ni ujinga tu na njia ya kupoteza pesa ya umma. Kama lazima mjenge port ya nne kwenye bahari la hindi basi mjenge port mahali ambapo hakuna port kwa mfano Kilwa. Bandari la Kilwa ni nzuri kwa sababu Kilwa ipo katikati mwa Dar na Mtwara. Halafu TZ haina container traffic ya kutosha ya kujustify kujenga an entirely new green-field port. Idadi ya port sio muhimu. Afadhali muwe na port moja kubwa kama Kenya bora ipo efficient na mizigo hazichelewi bandarini kushinda kuwa na ports kumi ndogo ndogo ilhali mizigo zinachelewa bandarini. Idadi ya port sio issue, issue ni "how efficient is your port?" Hayo ni maoni yangu tu kuhusu hili jambo, I may be wrong but that is what I think about this issue.