Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu njia hii tulikuwa tunaenda nayo ni ngumu kidogo,kwa kuwa hujenga uchumi from the ground yaani huanza KWA wananchi wenyewe KWA kuwajengea uwezo wa kumiliki uchumi wao na matokeo yake huchukua mda kuonekana kwenye figures na huitaji extreme measure to archive mfano ni china na russia.theory za ubepari ni nzuri ila si kwa africa.usoshalist nao ni mzuri kwa africa ila kwa brain drain iliyopa africa inaitajika new system.GDP za majirani huwa hazinibabaishi
Kutoonekana kwenye hizo figures siyo shida mkuu. Kinachotafutwa ni maisha bora na si kipato kikubwa. Libya ya Gadaffi haikuwa na figures kubwa lakini ni nchi gani ya Ulaya iliwazidi kwa ubora wa maisha? Hakuna.
 
Dr. Bashiru na kakoko waliondolewa haraka sana na kuwa replaced, sijui kuhusu kakoko lakini Dr. yeye ni mjamaa na mzalendo haswa.

Nimesikia kuna kilo kadhaa za madawa ya kulevya zimekamatwa JKIA na kuna mtoto wa kigogo wamemuhifadhi jina. Tumerudi kule kule haraka bila kufikiria...

Uzalendo ndiyo umemgharimu Kakoko. Angekuwa kikwazo kwao.
 
This what happens kama inchi inabebwa kama maembe ....ati hii inchi iko na hela..haiwaezi kopa....SMH... 😄 😄 😄 😄 😄

1618088481218.png

1618088533966.png
 
Kujenga bandari ya Bagamoyo is just a bad idea. It is not as if Tanzania has few ports. Tanzania tayari ina ports tatu kwenye Indian ocean zinazofanya kazi (Dar, Tanga na Mtwara) so sioni haja ya kujenga port nyingine mpya, kwanza green-field port ambayo itagharimu pesa nyingi. Kwa nini mnataka kupoteza hela yenu bure? Kenya ina port moja tu ilhali hio port moja inapakua mizigo mingi kushinda Bandari zenu tatu zilizo kwenye ufuo wa bahari la hindi. Kenya ndio ina haki ya kujenga bandari la pili ili kupunguza pressure kwenye Mombasa port hususan ukizingatia kwamba Mombasa port inaserve Kenya na Uganda kwa pamoja. Kenya ndio inastahili kujenga port ya pili lakini sio nyinyi. Nyinyi mnastahili kuongeza efficiency na kuexpand existing ports ili ziwe kubwa na zenye uwezo wa kuhandle cargo nyingi. Ports zenu bado ni ndogo ndogo sana. Dar port tayari imepanuliwa, Tanga na Mtwara pia zinapanuliwa. Mumeshatumia pesa nyingi kupanua bandari zenu sasa mbona mpoteze pesa kujenga bandari mpya wakati bandari zenu zinapanuliwa na hata hazijaanza kutumia new capacity. Mbona msingoje port zenu zitumie new capacity kwanza hadi zijae ili mjenge port nyingine? Au mnataka tu kujenga ili ionekane kwamba serikali yenu inafanya kazi hata kama hakuna misingi yoyote ya kujenga Bagamoyo port? Sioni haja ya kujenga Bagamoyo port karibu na Dar port. Huo ni ujinga tu na njia ya kupoteza pesa ya umma. Kama lazima mjenge port ya nne kwenye bahari la hindi basi mjenge port mahali ambapo hakuna port kwa mfano Kilwa. Bandari la Kilwa ni nzuri kwa sababu Kilwa ipo katikati mwa Dar na Mtwara. Halafu TZ haina container traffic ya kutosha ya kujustify kujenga an entirely new green-field port. Idadi ya port sio muhimu. Afadhali muwe na port moja kubwa kama Kenya bora ipo efficient na mizigo hazichelewi bandarini kushinda kuwa na ports kumi ndogo ndogo ilhali mizigo zinachelewa bandarini. Idadi ya port sio issue, issue ni "how efficient is your port?" Hayo ni maoni yangu tu kuhusu hili jambo, I may be wrong but that is what I think about this issue.
 
Ha ha ha umeandika kwa hisia kali sana Buda kana kwamba unatuonea huruma sana waTZ kumbe nothing rather than kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kwanza tambua Tanzania ndo nchi pekee dunian inayopakana na nchi nyingi kuliko zote Duniani yaan Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, D. R. Congo, Zambia, Malawi na Mozambique hivyo kufanya tuwe na strategic Borders Nane.

Pili, tunaweza kujenga Bandari nyingi kwa matumiz mbali mbali sio lazima iwe mix cargos like Dar Port, mfano mdogo ni Tanga Port expansion aimed to handle Bunch of oil From Hoima, hapo inaifanya Bandari hiyo kudeal zaid na Mafuta huku Dar Port ingeweza kua ya Magari zaid kwan mpk sasa ndo Bandari inayooongoza kwa kupakua Magari ukanda huu as we speak.

Kinachofanya kudelay au termination ya Bagamoyo Port sio kwa kua tunabandari nyingi ambazo zipo under expansion la hasha. Ni mkataba ulivyokaa, mkataba umekaa kinyinyaji zaid sio win win treaty but Parasitic One that Tanzania will provide land that gonna be under Chinese for about 99 yrs leased kitu ambacho ni Mkunya tu aweza kubali ujinga huo.

N. B: Tanzania bado inahitaji kuwekeza zaid katika miundombinu wezeshi ili kujenga uchumi imara na endelevu kwa ustawi Jamii nzima.
 
Mimi nitamjibu baada ya EACOP's FID!
 
Mimi nitamjibu baada ya EACOP's FID!
Wacha tuone kama kitatiwa saini. Na kikitiwa tuone jinsi Wakenya watareact kwenye twitter na kwenye media. Mimi mwenyewe sikufurahia kunyang'anywa tonge mdomoni. Sio tabia nzuri hilo. Hata sisi tutakuja kuwafanyia hivo siku moja.
 
Ha ha ha umeandika kwa hisia kali sana Buda kana kwamba unatuonea huruma sana waTZ kumbe nothing rather than kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Kwanza tambua Tanzania ndo nchi pekee dunian inayopakana na nchi nyingi kuliko zote Duniani yaan Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, D. R. Congo, Zambia, Malawi na Mozambique hivyo kufanya tuwe na strategic Borders Nane.

Pili, tunaweza kujenga Bandari nyingi kwa matumiz mbali mbali sio lazima iwe mix cargos like Dar Port, mfano mdogo ni Tanga Port expansion aimed to handle Bunch of oil From Hoima, hapo inaifanya Bandari hiyo kudeal zaid na Mafuta huku Dar Port ingeweza kua ya Magari zaid kwan mpk sasa ndo Bandari inayooongoza kwa kupakua Magari ukanda huu as we speak.

Kinachofanya kudelay au termination ya Bagamoyo Port sio kwa kua tunabandari nyingi ambazo zipo under expansion la hasha. Ni mkataba ulivyokaa, mkataba umekaa kinyinyaji zaid sio win win treaty but Parasitic One that Tanzania will provide land that gonna be under Chinese for about 99 yrs leased kitu ambacho ni Mkunya tu aweza kubali ujinga huo.

N. B: Tanzania bado inahitaji kuwekeza zaid katika miundombinu wezeshi ili kujenga uchumi imara na endelevu kwa ustawi Jamii nzima.
Kwa hivyo unasupport ujenzi wa Bagamoyo port? Na hebu tuambie kazi ya Bagamoyo port itakuwa ni gani ambayo Dar port haiwezi kufanya?
 
Siafikiani na ujenzi wa B Port kwa sasa kwa kua mkataba wake hauna maslahi kwa nchi, ila kama ungekua na maslahi lazima wangepeana majukum kua B Port itahusika na kipi na Dar Port itadeal na bidhaa zipi ili kuondoa congestion at our Ports
 
Obviously mkataba utakuwa mwingine. Ule wa kinyonyaji ulishatupiliwa mbali.
 
Huwezi kataa mkataba wa $10B tena wenye manufaa endelevu kwako na kwa muwekezaji, cha msingi ni kufanya feasibility study ya kina kuona jinsi gani mradi utabust inclusive economy bila kuathiri bandari nyingine kwangu sitakua na pingamiz.
 
Sawa. Wacha tungoje mapendekezo tuyaone.
 
Back
Top Bottom