CAPABLE GOD
JF-Expert Member
- Dec 5, 2020
- 288
- 343
[emoji16][emoji16]...Mkuu akikujibu nitag..If people have different views and opinion in Tanzania you call it division, when it happens in Kenya you call it freedom of expression and free society, hovyo kabisa wewe.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mimi ninafuatilia huu mjadala bila kujiumiza kichwa changu, wacha tu kila mtu atapike kile anachokitaka, kipindi hiki ni kipindi cha mihemuko, utapata shida sana kueleweka kwa sasa.Hilo daraja la main highway liko wapi? Muache ujinga wakati mwingine muelewe kilichoolezwa na CAG, TANROADS hawana mradi wa kujenga hiyo underpass kuepusha foleni inayosemwa na amesisitiza uanzishwe! kama mradi wa underpass upo leta evidence! Na usilete pedestrian overpass!
You STFU! There is no “we” in this. “We shOulDn’T beLiEvE aNyBoDy” and you go on to defend your biased beliefs! What an idiot!Then i guess we shouldn't believe any body then... kwaio ata mama samia na yeye anaweza akawa anatudanganya..CAG anaweza akawa anapika hizo repoti... si ndo hvyo? Broo stfu unaboa kiukweli.
Kwenye stendi yenyewe ya magu huja fika lakini bado ume amua kuegemea upande wa CAG...tukisema na wewe upo bias uta kata? Swali ni moja pamoja na kujua Jpm hakua mkamilifu do you belive alikua ana taka hii nchi iende pabaya? Navitu vyote hv alivyo fanya vilikua havina umuhimu kwenye hii nchi in a long run?
Yani ukiangalia ata kwenye ndege we all know kupata losses ilikua inevitable. Bado company ni mpya. Na ukijumuisha na huu ugonjwa it's worse lakikini bado watu wanajitoa ufahamu. Kwaio walitaka tusiwe na ndege? Aya wata sema tunge iekeza hiyo hela sehemu nyingine, ni sector gani magofuli hakugusa apa tanzania? Tuwe wakweli tu.
We jama angu unataka kujikuta intellect on how to receive things n how to articulate them lakini common logic na utashi ndo inayo kushinda.
Ndo tuna waita vibendera nyie. Kila kitu anacho ambiwa ye sawa tu.. hu angali outside the box. Hutumi utashi ulio pewa na Mungu.
Tunahitaji strong institutions kwa sasa.Alafu kosa kubwa alilofanya ni kutuficha kua japo anaweka juhudi bado kuna mianya ya upotevu angekua ametuzoesha habari hizi hakuna ambae angemshangaa muda huu. ..tuliaminishwa mambo ni safi sasa ndio maana tunashindwa kuelewaMagufuli Ameumiza Maelf ya Watanzania
magufuli Ameliza Maelf ya Watanzania
Magufuli Amesononesha Maelf ya Watanzania
Eti leo wanaona hajafanya kitu
mfe muone Kama hamta liliwa na ndugu zenu na matumbo yenu pekee.
Madaraja,Flyover,Mahospital,Barabara,Nidhamu,Stand kila kona.
Uzalendo wake
Mtanzania gani hana macho, Kafa eti anaonekana Hana jema
Kifo cha Magufuli kimetuliza Watanzania na Sioni Kiongozi Kwa Karne hii Atatuliza hivyo
pumzika Mzee Nimeelewa kwanini Ulisema Tukuombee
Mashetani ulikuwa nayo Mfukoni mwako leo ndio yamejitokeza!!
Rais wangu ni Magufuli Milele nitakukumbuka
Pumzika kwa Amani
Kuna sehemu nimeandika Magufuli alikuwa fisadi? Taasisi za serikali ndizo nilizokuwa nazungumzia. Kwenye ufisadi there is no such thing as one person! Watu wengi wanakuwa involved, hence, it’s wrong to think that one person in power was responsible for everything.Mkuu mimi ningependa unipe mwangaza nielewe kama Magu alikua fisadi alizifaidi vipi hizo pesa? au aliwafaidisha wengine kwa kuwafurahisha?
Na nikukumbushe kuwa Kikwete alipoingia Madarakani 2005 walitoa report za ufisadi wa Mkapa mara ana 5 star hotel South, alikua anajikusanyia pesa Uswiss n.k.
Sasa hapa kwa Magu kuipika hii report naona kama imekua ngumu kidogo maana jamaa alikua haendi kula bata nje n.k
Nimeelewa ulichoandika. Mimi sikuwa mfatiliaji mkubwa sana wa habari za serikali hapo nyuma. Hivi wakati wa Magufuli kulikuwa na CAG report yoyote? Nahitaji kufahamu ili nisome hizo report nione ni Kwanini Rais Hassan Afanye ubatili wa report za CAG kujitengenezea reputation bora huku akiivunja ile ya Magufuli.Hivi mkuu unakumbuka tulivokua tunasema humu ndani kuwa Raisi ajae ana kazi ngumu sana kutafuta kitu cha kufanya ili WaTZ wamuelewe? Sasa hii ndio kazi yenyewe, Ili watu wasikuone hujafanya kitu cha maana itabidi ukosoe yaliyofanywa ili utakayofanya yaonekane nayo ni ya maana aka "Wivu wa kumloga mtu badala ya kufanya bidii kumpita"
Na hii inadhihirishwa na the fact kwamba CAG kapeleka report kwenye vyombo vya habari "Silaha No.1 duniani" na unajua nani kamruhusu
Brother, acha UONGO! Naomba unionyeshe ushahidi kuwa niliandika sehemu kwamba Stendi inaleta foleni.Stand italeta foleni vipi wewe?? Ilivyoongelea CAG ni kuponda Stand kama mradi. Stand italetaje foleni??
Mimi nakuuliza hili swali kwakua wewe unasema italeta foleni, hutoi ufafanuzi wewe unayejua badala yake unanirifaa kwa mtu mwingine, so why ushadadie mambo usiyoyajua?
Sawa. Time will tell. Tukae tuone kama hizi theories zako zitakuwa proved right. And you never answered my question about your sources.Hili group la Kina Kikwete halijaanza leo fitna juu ya baadhi ya viongozi na ni kundi ndani ya CCM linalotaka kuongoza lenyewe kila kona wakati hawana weledi wa uongozi.
2005 tulitakiwa tupate kiongozi Mzuri sana na group lakina Kikwete likiwa na backup ya Group la Lowassa wakamfitini sana na kumtuharibia Tanzania kumpata kiongozi wa hali ya juuu, Dr. Salim Ahmed Salim.
2015 CCM nusura imfie Kikwete nduio kuwealeta wakina Magufuli na kumtosa Lowassa jambo lillilopelekea wawili hawa kuwa mahasimu wakubwa.
Kwakua Lowassa na Kikwete hawaendi na Magufuli alimwalika Lowassa tena CCM, sikia kauli ya Lowassa kuhusu swala hili, kama ataongea.
MY TAKE:
"Kinachofuata sasa, baada ya hii report ya kupika, ni kuwatoa mawaziri karibia wote waliokua wakifanya na Magufuli kwa bunge kumkalia kooni Waziri mkuu ajiuzuru, ili kwenye cabinet ya Mawaziri wapya, wakina Nape, Makamba ndio waingie.
Mama na kundi lake waliona kuwatosa wote watu wangewashangaa, so wakapika hii kitu, kumtoa Waziri mkuu then mawaziri wote ili wale wa kundi lile waingie."
Hivi unatafuta nni kwenye forum ya Tanzania 🇹🇿? Nenda kwenu Rwanda mkatengeneze yenu!Tony254 hebu tuache kwanza tutoe kwikwi shida ni nini?
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Hata ukikamilika 2050! Bitter truth is that,we snatched it from you,over.Mradi utakaomalizika 2030?
Hata ukikamilika 2050! Bitter truth is that,we snatched it from you,over.
Sasa ww mlitaka tufanye nini?Hata kama unavyosema ni ukweli kwamba tumezuia mahindi yenu kuingia Kenya bado hainiingi kichwani vipi nyinyi mumeamua kuzuia kila kitu kuingia TZ. Yaani angalau sisi tulizuia mahindi pekee. So wewe unaona kama mko proportional kweli au mnaleta utoto na ubabe?
Wenye forum yao wanaolipia domain name na dedicated server hawasemi kitu sasa wewe huo ukuwadi umeupata wapi?Hivi unatafuta nni kwenye forum ya Tanzania 🇹🇿? Nenda kwenu Rwanda mkatengeneze yenu!
Mzigo wa auric air huo
Hii mizee sasa inaudhi, efficiency ya umeme wa maji inajulikana, labda atudanganye kwenye mamiamba yake huko lakini siyo umeme.ase sigh..
And where did a call it freedom of expression in Kenya? Whatever I said is a universal fact. Its not always me Vs you.....calm your titties!!!If people have different views and opinion in Tanzania you call it division, when it happens in Kenya you call it freedom of expression and free society, hovyo kabisa wewe.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
[emoji849]aliyekuambia mimi mnyarandwa ni nani?kwahiyo unataka kuniambia hiyo picha uliyoweka ndo wewe mwenyewe?Hivi unatafuta nni kwenye forum ya Tanzania [emoji1241]? Nenda kwenu Rwanda mkatengeneze yenu!