Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,230
- 35,643
Magu katuachia falsafa yake dhidi ya nyang'au,wakimwaga mboga tunamwaga ugali,haina kubembelezana hiyoNilikuambia kwamba kila kwenye mgogoro kati ya KE na TZ lazima chanzo ni Kenya. Ninakuhakikishia kwamba njia pekee ya kushughulikia migogoro ya Kenya na Tanzania ni kulipiza kisasi, ninyi wakenya sio watu wa kushauriana nanyi, ninyi ni watu wa hovyo sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Lengo la adhabu ni kutoa fundisho ili usirudie tena, na kutuma ujumbe kwa wengine wasijaribu kufanya hilo kosa, ndio sababu kosa la wizi wa fedha kiasi cha Shillingi 1M, lazima iwe kubwa kuzidi kiasi ulichoiba, ukimtoza faini ya kiasi hicho hicho alichoiba, hiyo ni sawa na kurudisha, hiyo sio adhabuHata kama unavyosema ni ukweli kwamba tumezuia mahindi yenu kuingia Kenya bado hainiingi kichwani vipi nyinyi mumeamua kuzuia kila kitu kuingia TZ. Yaani angalau sisi tulizuia mahindi pekee. So wewe unaona kama mko proportional kweli au mnaleta utoto na ubabe?
🤣 🤣 🤣 Do not be dilusional! Na ndio maana ninakwambia utafute mtu mwenye uelewa wa juu zaidi wa kukueleza kwa nini hiyo stendi italeta foleni. Kwasababu mimi sifahamu haimaanishi kile unachokiamini ni kweli. And no, I won't stop "kushadadia" mengine aliyosema CAG kwasababu mimi sio mwendawazimu kama unavyodhani.
Mkuu, nyakati kama hizi nakushauri usishughulike na misukule kama huo unaoujibu. Kwa mzalendo kama wewe hiki ni kipindi kigumu cha majaribu magumu. Ukiona kuna mwendawazimu anakomalia ujinga mchunie maisha yaendelee.
🤣 🤣 🤣 Do not be dilusional! Na ndio maana ninakwambia utafute mtu mwenye uelewa wa juu zaidi wa kukueleza kwa nini hiyo stendi italeta foleni. Kwasababu mimi sifahamu haimaanishi kile unachokiamini ni kweli. And no, I won't stop "kushadadia" mengine aliyosema CAG kwasababu mimi sio mwendawazimu kama unavyodhani.
Kwani mumeagizwa kuanza kuvaa barakoa?
hahah mtu atapoteza kibarua pretty soon!huyu mwandishi anamzingua mama
View attachment 1747582
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Meko was a thief [emoji23][emoji23]
Adhabu mauti [emoji88]
If people have different views and opinion in Tanzania you call it division, when it happens in Kenya you call it freedom of expression and free society, hovyo kabisa wewe.Whats going on here???....... The death of Magufuli is really dividing Tanzanians. Didn't know you guys were such a fickle society!! The guy was a great leader no doubt. But at the end of the day it should be about institutions not individuals so that it does not matter who comes and goes.
Then i guess we shouldn't believe any body then... kwaio ata mama samia na yeye anaweza akawa anatudanganya..CAG anaweza akawa anapika hizo repoti... si ndo hvyo? Broo stfu unaboa kiukweli.
Kwenye stendi yenyewe ya magu huja fika lakini bado ume amua kuegemea upande wa CAG...tukisema na wewe upo bias uta kata? Swali ni moja pamoja na kujua Jpm hakua mkamilifu do you belive alikua ana taka hii nchi iende pabaya? Navitu vyote hv alivyo fanya vilikua havina umuhimu kwenye hii nchi in a long run?
Yani ukiangalia ata kwenye ndege we all know kupata losses ilikua inevitable. Bado company ni mpya. Na ukijumuisha na huu ugonjwa it's worse lakikini bado watu wanajitoa ufahamu. Kwaio walitaka tusiwe na ndege? Aya wata sema tunge iekeza hiyo hela sehemu nyingine, ni sector gani magofuli hakugusa apa tanzania? Tuwe wakweli tu.
We jama angu unataka kujikuta intellect on how to receive things n how to articulate them lakini common logic na utashi ndo inayo kushinda.
Ndo tuna waita vibendera nyie. Kila kitu anacho ambiwa ye sawa tu.. hu angali outside the box. Hutumi utashi ulio pewa na Mungu.
Mkuu afu wanasahau kuwa the way wanavyomchafua jpm wanajipa kazi kubwa ya kuyafanya zaidi ya magufuri alicyofanya....kitu ambacho linaweza kuwa kigumu sana kwao..Mimi sidhani kama anashinikizwa. She's part of all this shit. Ila usijali mkuu. Hata wafanye vipi hawawezi kubomoa legacy ya Magu. Ni mwendawazimu tu atakubaliana na upuuzi wao.
Wanataka tufike kama jirani zetu wa kaskazini...utoporo wa kuwa na gdp kubwa inayomilikiwa na wageni ambayo ndiyo msingi wa capital flight....na kuishi kwa mikopo watayokuwa wanachota tuuNikirudia ile video ya tangazo, nauona unafiki mwingi sana.
Hilo daraja la main highway liko wapi? Muache ujinga wakati mwingine muelewe kilichoelezwa na CAG, TANROADS hawana mradi wa kujenga hiyo underpass kuepusha foleni inayosemwa na amesisitiza uanzishwe! kama mradi wa underpass upo leta evidence! Na usilete pedestrian overpass!😀 Magufuli Terminal itasababisha foleni, siku zote naona watu wanapost nafikiri ni watu wa maana kumbe ni mabendera
View attachment 1747501
Mkuu wanajitaidi sana kumchafua ila hawataweza....asilimia kubwa ya ripoti inataja hasara katika taasisi mbalimbali na sivkuwa labda eti magu alijimbikizia mali...KWA mimi hii inaonesha jinsi gani magu alikuwa mzalendo ....pamoja na udhaifu wake, yawezekana kuna watu walikuwa wanampinga...wanataka kumwangushaMkuu mimi ningependa unipe mwangaza nielewe kama Magu alikua fisadi alizifaidi vipi hizo pesa? au aliwafaidisha wengine kwa kuwafurahisha?
Na nikukumbushe kuwa Kikwete alipoingia Madarakani 2005 walitoa report za ufisadi wa Mkapa mara ana 5 star hotel South, alikua anajikusanyia pesa Uswiss n.k.
Sasa hapa kwa Magu kuipika hii report naona kama imekua ngumu kidogo maana jamaa alikua haendi kula bata nje n.k
❤️Magufuli Ameumiza Maelf ya Watanzania
magufuli Ameliza Maelf ya Watanzania
Magufuli Amesononesha Maelf ya Watanzania
Eti leo wanaona hajafanya kitu
mfe muone Kama hamta liliwa na ndugu zenu na matumbo yenu pekee.
Madaraja,Flyover,Mahospital,Barabara,Nidhamu,Stand kila kona.
Uzalendo wake
Mtanzania gani hana macho, Kafa eti anaonekana Hana jema
Kifo cha Magufuli kimetuliza Watanzania na Sioni Kiongozi Kwa Karne hii Atatuliza hivyo
pumzika Mzee Nimeelewa kwanini Ulisema Tukuombee
Mashetani ulikuwa nayo Mfukoni mwako leo ndio yamejitokeza!!
Rais wangu ni Magufuli Milele nitakukumbuka
Pumzika kwa Amani