Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msiba
 
Kuna watu wanataka kuifananisha hii plan na ya USA wakisahau kuwa USA ilikua tayari imeendelea kitechnologia na hiyohiyo style yao ndio iliyofanya wachina wakaweza kucopy, so USA waliloose na ndio maana mchina anakuaga sana mchoyo linapokuja swala la new technology. Sasa kwa nchi inayokua kama TZ inatakiwa uwape nafasi watu kukua, kama umewekeza sehemu inanyotakiwa techology flan ni lazima uwatrain wenyeji ili wafanye kazi, sasa ukitoa nafasi ya kuleta watu wao tunapoteza chance ya kujifunza kutoka kwao, tunawapa ajira. Nafirikiri kina sisi Software Engineers Geza Ulole itabidi tujikite kwenye kubuni new ideas kuliko kuajiriwa, wahindi na wengineo watamiminika kama utitiri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akili ndogo bhn....apo kunya kuna nini mpka aletwe Rais wa Tz? Ikiwa mbunge tu referral ni India
Kwa hivyo Tundu Lissu alienda India wasiojulikana walipompiga marisasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…