Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha bana. Siongelei vitu za kijinga, umewahi sikia kitu kama IAAF wakileta mashindano kwingine kama sio Kasarani!?

Kwa sasa tunajiandaa na World Under 20 Athletics. Over 90 countries confirmed.

Halafu World Safari Rally. Its venue will be Kasarani.
We jamaa utakua huna akili timamu,unapata ujasiri wa kulinganisha mkapa stadium na huo uchafu wenu.? 😂😂😂, Yani hata kuona vizur tu unashindwa.?
 
View attachment 1744485hapa ndo loans zilenda 😇😇
Kenya rail network imefika lini +3000 km? na road network 246700 km umejumuisha na tope roads ama? 🤣 🤣 ☝️

Unbenannt.PNG
Unbenannt4.PNG
 
Kenya rail network imefika lini +3000 km? na road network umejumuisha na tope roads ama? 🤣 🤣 ☝️
Huyo jamaa wa kuitwa Simba ninamashaka na akili zake kama ni timamu au lahasha,hizo kilometa elfu tatu za reli sijui ni kutoka wapi hadi wapi yaani duh,tusiseme sie wenye kila aina ya reli eti wanajimwambafai wao, ushuzi mtupu
 
umeona nairobi barabara zote za high-end areas ziko paved? ni ngumu upate vumbi mahali kama Karen
Iyo ni point...Hapa Dar pia barabara zinajengwa sana...hadi uswahilini uko wanapata miradi ya barabara za kisasa
 
Ati Rwanda rail network ni 3,383 kms! au ni kms zipi mnamaanisha? Una matatizo ya akili wewe.
Rwanda ipo sawa na Kenya kwenye Rail network alafu Rwanda ameizidi Ethiopia, huwa akili zao ndogo sn wakitengeneza hivyo vi report vyao wanasahau kutumia logic tu ili at least uongo uende mbali, alafu na haya majinga yanayopost humu huwa yakikuta tu yanachukua pasipo ku reason ili mradi tu report ioneshe Kenya imeizidi Tz.
 
Rwanda ipo sawa na Kenya kwenye Rail network alafu Rwanda ameizidi Ethiopia, huwa akili zao ndogo sn wakitengeneza hivyo vi report vyao wanasahau kutumia logic tu ili at least uongo uende mbali, alafu na haya majinga yanayopost humu huwa yakikuta tu yanachukua pasipo ku reason ili mradi tu report ioneshe Kenya imeizidi Tz.
Hilo tahira la kuitwa Simba uskute hata linatengeneza lenyewe hizo taarifa ili lijifariji
 
Inside the so called international stadium 😂😂😂 hata kumbe viti vyenyewe hakuna, watu wanakaa kwenye zege,huu uwanja haufikii viwango vya viwanja vya kimataifa kamwe,ni upuuz mtupu 😂😂😂 Simba 254 eti sitting capacity ni 70k 😂😂😂
Screenshot_20210406-093514_1.jpg
Screenshot_20210406-093243_1.jpg
Screenshot_20210406-094011_1.jpg
Screenshot_20210406-093950_1.jpg
 
Back
Top Bottom