Waambie wakuoneshe basi plot labda ya urithi wa babu wakat wajukuu wako 100 wote wanaisemea hio hio plot moja 🤣🤣Hehe wanasema wanaplots ushago
Mimi ninaploti nimenunua likoni, 🙄🙄Waambie wakuoneshe basi plot labda ya urithi wa babu wakat wajukuu wako 100 wote wanaisemea hio hio plot moja 🤣🤣
Asante kwa matumaini 😆😆😄Mimi ninaploti nimenunua likoni, 🙄🙄
Mwarabu koko Kama huamini hiyo ni shauri yako,Asante kwa matumaini 😆😆😄
Mods mbona jamaa ananitukana!!..mi sikumkosea kitu,sijamtukana wala sikumtaja kwenye post yangu!Mnapenda wale wa kugombana na wenzao?....pumbavu....mama yuko sawa
Tatizo APK yenyewe huwez kushare via link Ila usikonde brother ntaangalia utaratibu uweze kuipata kwa urahisLabda utupie link PM mkuu.
Chama hakitaruhusu huyu mama awe mdebwedo kama J.K sababu wanajua kilichompa credit JPM na CCM ni utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Sasa kama miradi haitatekelezwa kama inavyotakiwa na kwa muda muafaka basi CCM itakuwa katika wakati mgumu sana na hawatathubutu kumrudisha tena huyu mama kwenye position ya mgombea urais 2025.Uyu Mama ni replica ya JK, Tutaona maisha yanarudi kua marahisi But akiweza kua mkali kwa wazembe kama JPM hakika atafanya makubwa
What was vaccine for????Covid 19 protocol at Jamia Mosque Nairobi
View attachment 1744416
Muda si mrefu uhuru atatangaza wave nyingine ya nne ya covid-19 Kenya na partial lockdown then ataomba mkopo wa kupambana na Covid-19.4 Kwa kweli wakenya nawaonea huruma jinsi wanavyohangaishwa na serikali yao kwa mambo ya kijinga kabisa halafu wanaibiwa mabilion ya fedha kwa mgongo wa covid. Rais wao anahangaika utadhani mwanasayansi yupo maabara anafanya majaribio ya dawa ya covid! 😀 😀 😀 😀Covid 19 protocol at Jamia Mosque Nairobi
View attachment 1744416
APK mbona unaweza kuiweka hapa jf kama attachment. Au ukam-PM unaetaka kumpa then ukaiweka kama attachment na yeye atai-download.Tatizo APK yenyewe huwez kushare via link Ila usikonde brother ntaangalia utaratibu uweze kuipata kwa urahis
Aaah ahsante mkuu ebu nichek nafanyaje👍👍👍APK mbona unaweza kuiweka hapa jf kama attachment. Au ukam-PM unaetaka kumpa then ukaiweka kama attachment na yeye atai-download.
The vaccine was for loans.What was vaccine for????