Okayunashindana na nani?
Tanzania ni tegemeo la Kenya, bila Tanzania uchumi wa Kenya unasambaratika
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hehe breaking news, water is wet.Tanzania ni tegemeo la Kenya, bila Tanzania uchumi wa Kenya unasambaratika
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
I'd like to know, when you say Kenyan economy depends on Tz, what do you really mean.?Tanzania ni tegemeo la Kenya, bila Tanzania uchumi wa Kenya unasambaratika
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, waulize viongozi wa Kenya waliochagua Tanzania na kuachana na UK, wanaujua umuhimu wa Tanzania kiuchumi.I'd like to know, when you say Kenyan economy depends on Tz, what do you really mean.?
So your previous post is not founded on empirical evidence? Well okayHahahaha, waulize viongozi wa Kenya waliochagua Tanzania na kuachana na UK, wanaujua umuhimu wa Tanzania kiuchumi.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Km nimebugi mbona kakimbia hakurudi kuni quote tena..kaa ukifanya research kwanza kabla urukie mada zngneHapa wewe ndio umebugii mzee mchina pia anaingoza kwenye secta hii
If by now you don't know the importance of Tanzania economically to Kenya, can't help you, am sorry for this disappointmentSo your previous post is not founded on empirical evidence? Well okay
No problem with that buddy, I think it's a good thing. No one will loose,hoping it eventually elavate tz stature e in the community of nationsIf by now you don't know the importance of Tanzania economically to Kenya, can't help you, am sorry for this disappointment
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Footbridge ipo mzee si nmekuwekea ipo pale stand kuu ya Magufuli, au ulitaka footbridge njia nzima? Na interchange pia zipo, Btw haya mambo bado ni mageni hapa kwetu tupeane mda tutayazoea, expressway inakuwaje na vituo vituo kila sehemu?OK basi ni bus lanes ila ishu ya vituo na footbridges ni lazima aisee
Kwn Thika ina footbridge ngp?Eti footbridge haihitajiki kwenye hii highway? Kwani hakuna watu wanaoishi kando kando mwa barabara hii pana? Halafu barabara hii pana bila footbridge watu wengi watagongwa na gari. Footbridge ni lazima iwe. Hii sio barabara kadogo ka mtaani, hili ni jitu la barabara hata huwezi kuvuka bila footbridge. Unajua nyinyi hamjawahi kuwa na barabara pana kama hii ndio maana unaona kama footbridge sio lazima.
Footbridge hii hapa km una lingine sema[emoji116][emoji116]Huyo jamaa anafikiri watu watavukaje barabara ya 8 lanes bila footbridge? Kwani mnataka kuuwa watu?
Ss km unajua mradi haujakamilika mbn unalaumu kabla haujakabidhiwa?Kwe
Kwenye hii highway tumepigwa kuna vitu muhimu havijakaa sawa ila ni kwasababu mkandarasi anajifunzaa , footbridge ni lazima naona haikuwa Kwenye plan ya mkandarasi sijui ila mradi badoo hujakamilika
Sijawahi kuhesabu lakini ina footbridges kadhaa. Sio nyingi sana lakini nipo sure ni zaidi ya sita. Mkenya anayejua idadi kamili atufahamishe.Kwn Thika ina footbridge ngp?
I think in total like 16Kwn Thika ina footbridge ngp?
Unaweza kutuwekea picha to support ur claim.I think in total like 16
Kwenye interview yake hajasema kama alikuwa anapigwa!
Most definitely, I will tomorrow. Right now I'm having a good time, enjoying something. But I will definitely come through tomorrow.Unaweza kutuwekea picha to support ur claim.
Who is loosing in this fight. Most definitely not the countries. The average traders, are. I feel like even the average administrators don't know what is going on the maize scandal may be, it may have been created intentionally by both countries intelligent service to divert Magufulis illness. I'm just thinking. Ila Kenyans ni wahuni sana, hamuwez kutuepuka . Oya sakata la mahindi mchongo ulikua hiv
Samia mbona asizuie bidhaa za Kenya kuingia Tanzania?. Ila Kenyans ni wahuni sana, hamuwez kutuepuka . Oya sakata la mahindi mchongo ulikua hiv