mzee tony kaishi nje uko Czech republic kwaiyo roho safi.. hawa wengine visungura pori havijatoka ata county zao wanakuja kumsakama tony mtu wakimataifa nyie wakunya nyie tunawaona
Usikute ina Station 5Na kabla ya kumalizia phase za kati akarukia phase ya 5.
Maiti yake imekanyaga barabara 5 mwanzaKunajamaa kanifurahisha nikakumbuka,
Aliapishwa tar 5,
Raisi wa awamu ya 5,
Amefanya kazi miaka 5 na miezi 5,
Alifariki j 5,
Akazungushwa uwanjani round 5,
Mwili umeagwa kwenye Mikoa mi 5,
Moya ni hii,,
Eti jamaa yule aliepiga pushup mwili ulipokuwa unapita eti alipiga pushup 5,
Bado nachunguza father alipiga pishup 5 au zaidi...[emoji16][emoji16]
Miaka 5 ijayo hawa wote wanaomponda Magu watajua umuhimu wake mana watalazimika kutumia falsafa zake kupata kura na hapo ndipo watakapoumia vby cz Watz wa ss ni watu wa ku reason na co ndio mzee..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]SGR ina phase 5,
Merging ni kuunganiasha vipande tofauti na kufanya kitu kimoja, mfano kutengeneza homogeneus solution (majani ya chai, sukari na maji). Wakati combination ni kukutanisha pamoja vipande tofauti tofauti bila ya kuingiliana, yaani kutengeneza heterogeneus solution (mfano mchanga na maji).Kwa mimi ninayetumia adobe Merge ni kuifanya iwe moja kabisa, Combination nafikiri ni two but same mission au [emoji16][emoji16][emoji16]
Siku zingine wacha kusikiliza maneno kwa ushabiki, wacha kusikiliza wapinzani Tanzania, hawana mwelekeo wowote zaidi ya kupiga domo tupu, Tundu Lissu is the most stupid opposition leader in Africa.Magufuli in general alikuwa mtu mzuri. Sitaki kuongea mambo ya uchaguzi. Magufuli amebadilisha Tanzania kabisa na sasa hivi mpo mahali pazuri kushinda zamani.
Second tallest with 25 floors [emoji3][emoji3][emoji3]Second tallest building in Africa hio [emoji123]lazima ionekane mbali, linganisha na hii yenu few metresView attachment 1738619
Kwahiyo hiyo ni tax au mtu na Mkewe?
hebu leta CV yake naona ni lecturer department of Social Science, je ashawahi kuwa CEO wa any institution? Kumbuka hamna muda wa trial and errors! mbona tusiletewe watu kutoka finance economics and planning ambao wako tayari kwenye game kama BOT, CMSA ama Bankers?Martin Chegere?
This is not tax in Arusha, is for private purpose
Ili blogs zao zipate watembeleaji siku hizi inabidi waandike news za Tanzania.
Vigagula!
angalia huyu alichofanya horticulture!Martin Chegere?
Its ok but tunasahau kuongeza uwekezaji na uchumi tunahitaji a bridge between MOF and economic stakeholders(industrialist, investors wakulima and private sectoor) pia na si ukusanyaji tax tu! What do u do with the money u callected to sustain economic growth? We need to have 8% yearly GDP growth! Kuna vitu vinaitwa enabling environment and incentives! Mind u agriculture, tourism and mining r our foreign cash earners! fishing and gas is still raw and untapped!basi kwa mujibu wako, naona yule mkurugenzi kuu wa TRA kijana msabato ivi ndo angeweza hasa baada ya kuweza kuwiden rax base and collection. ila naona bado mchanga kisiasa