Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kuujua huu mradi vizuri ingia kwny hii link 上海凌航实业集团有限公司
Ubungo pataendelea kuwa bize!!Huku shopping center huku kituo kikuu cha Mabasi yaendayo kwa haraka!!Hata muonekano utabadilika sana plus ile barabara ya mzunguko ya Kijazi interchange ambayo iko U/C jumlisha barabara ya simu 2000.
Washaanza kujenga au
 
Tax drivers around Kisumu my foot [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mpaka leo wanatumia baiskeli kama chombo cha kusafirishia abiria bas kwa hapa bongo iyo kisumu level zake ni shinyanga 😂😂😂 . Iyo kisumu ni mbovu sana eti wanataka waishindanishe na Arusha 😂😂 kisa kuna calvat (fly over 😂😂) ni wakupuuzwa tu hawa,
 
Kama mpaka leo wanatumia baiskeli kama chombo cha kusafirishia abiria bas kwa hapa bongo iyo kisumu level zake ni shinyanga 😂😂😂 . Iyo kisumu ni mbovu sana eti wanataka waishindanishe na Arusha 😂😂 kisa kuna calvat (fly over 😂😂) ni wakupuuzwa tu hawa,
Mpaka china ziko bicycle taxis, hamna jipya.
 
Hachelewi kumtoa mjaluo kwenye kitako/kiti cha phoenix bicycle na kumpachika mchina kwa photoshop ili tu ajifurahishe nafsi! Huyu farao ana akili mbovu kwelikweli! 😀 😀 😀 😀
 
Dar
F3B75DB7-541E-4959-A8A0-02E36BC160F3.jpeg
 
Washaanza kujenga au
Nafikiri bado ila siko sure 100% ila mpango ulikuwa immediate baada ya kuhamisha kituo Mbezi waanze kujenga!!!Kwa haraka haraka ukiangalia picha alizoweka Trubarg ujenzi unaoendelea ni wa BRT Maana naona mashimo kwa ajili ya maintenance ya magari pia mafundi ni kama wanaset mbao kwa ajili ya barabara za zege!!plus kama kuna chain ya fremu ya vituo ule upande wa Mellinium Tower,ila eneo limegawanywa katikati.Ngoja tusubiri.
 
Back
Top Bottom