ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unajua maana ya kuwatag ??? Au unafkiri anawatag bure 🤣🤣🤣🤣🤣Km angelikua na habari asingeliita ripoti yake press
Angeliiweka hzo data katika official websites za KQ
Unajua maana ya kuwatag ??? Au unafkiri anawatag bure 🤣🤣🤣🤣🤣Km angelikua na habari asingeliita ripoti yake press
Angeliiweka hzo data katika official websites za KQ
Yaani wajaribu tu kuangalia toka Dar mpaka saivi Geita, msiba kote ulipopita barabarani
Kitu wasichojua ni kwamba umaarufu mkubwa wa Magufuli kaupata kwenye ujenzi wa barabara Tanzania nzima, kwa hiyo kama tujuavyo hakuna kiongozi Kenya toka iwepo na kuendelea atakuja kufanana na Magufuli ndio hivyo hivyo Kenya haitokuja kufanana na Tanzania kwenye issue ya ubora wa barabara na upana wa mtandao wake.
Link gani unataka 🤣🤣👇👇 usichanganyikiwe relax budaawale wale yani
View attachment 1733707View attachment 1733708
somen paragraph ya kwanza mwishoni
the legal title is to be transferred to Kenya Airways Plc once the loans are fully repaid
kwa maneno hayatunathibitisha KQ inamiliki ndege 3 kihalali. full stop
View attachment 1733709
vip komora096 bado unabisha?
Tony254 any comment?
ichoboy01 ebu isome hii report
![]()
Kenya Airways Limited (KQ.ke) 2019 Annual Report
Kenya Airways Limited (KQ.ke) listed on the Nairobi Securities Exchange under the Transport sector has released its 2019 annual report. For more information about Kenya Airways Limited (KQ.ke) reports, abridged reports, interim earnings results and earnings presentations, visit the Kenya Airways...africanfinancials.com
wale wale yani
View attachment 1733707View attachment 1733708
somen paragraph ya kwanza mwishoni
the legal title is to be transferred to Kenya Airways Plc once the loans are fully repaid
kwa maneno hayatunathibitisha KQ inamiliki ndege 3 kihalali. full stop
View attachment 1733709
vip komora096 bado unabisha?
Tony254 any comment?
Hvi wakat mm naimba huu wimbo miaka miwili mlikua hamnielewi😀😀😀 nimesema haya maneno two yrs ago kq inamiliki ndege tatu hata mbunge wao aliyasema bungeni dhahiri kabisawale wale yani
View attachment 1733707View attachment 1733708
somen paragraph ya kwanza mwishoni
the legal title is to be transferred to Kenya Airways Plc once the loans are fully repaid
kwa maneno hayatunathibitisha KQ inamiliki ndege 3 kihalali. full stop
View attachment 1733709
vip komora096 bado unabisha?
Tony254 any comment?
Ww na cs macharia nani tumuamini??🤣🤣🤣Umefunga we na nani, lete official source kutoka KQ kwanza ndio tufunge mada
Wewe na cs macharia nani tumuaminu na nani anaijua kq kindakindaki 👇👇🤣🤣Msaidie mwenzio kuleta source jamani kutoka KQ, maneno mengi wala hayatawasaidia heri mnengue tu..
Mwenzenu jichoboy kakimbia
Unatafuta pakutokea kwamba tulisema munamiliku ndege tatu wenzako wakaelewa wewe hukuelewa au🤣🤣🤣🤣🤣Msaidie mwenzio kuleta source jamani kutoka KQ, maneno mengi wala hayatawasaidia heri mnengue tu..
Mwenzenu jichoboy kakimbia
Msaidie mwenzio kuleta source jamani kutoka KQ, maneno mengi wala hayatawasaidia heri mnengue tu..
Mwenzenu jichoboy kakimbia
Uhehehhehehhehehehehehehheheh wenzako wote wameelewa ispokua wewe tu mpuuzi unaejifanya unajua zaidi kuliko cs macharia 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇Umefunga we na nani, lete official source kutoka KQ kwanza ndio tufunge mada
Imeisha hio 😄😄😄😄😄 ngoja waendelee kutafuta mchawi wa lossUkweli uko hapana wote mmeona.Case closed
![]()
Debt to Gdp ratio za nchi za magharibi zipo wapi?Kuona vumbi kwa GDP ya mikopo 🤣🤣 yani debt to GDP ratio ipo 86% alaf unazungumzia uchumi gani???
Unafananisha developed country and developing country??? Akili iko sawaDebt to Gdp ratio za nchi za magharibi zipo wapi?
Magufuli kwenye miundombinu katuheshimisha sana Daima atabaki miyoyoni mwetu mpaka tutakapoonana tenaNimeexperience Mwenyewe Wakati Waziri Wa mambo ya nje Wa China Alipokuja. Nilitakungulia na gari na kukanyaga hadi Chato . Barabara Nzuri sana. Na njiani nimeona Vitu vizuri sana. Ilikua ni Experience nzuri sana. Unforgetabble.
View attachment 1733918
View attachment 1733919
View attachment 1733920
View attachment 1733921
View attachment 1733922
Hii ni Js Safari ipo Karibu na Uwanja wa Ndege, Museven School na VETA. Pazuri sana kwa Utalii.
Mzee wetu kaondoka mapema Sana. Watanzania Tutamkumbuka milele.
View attachment 1733924
View attachment 1733925
View attachment 1733926
Debt to Gdp ratio za nchi za magharibi zipo wapi?
Ulikuwa unataka niseme nini?swala la KQ kumiliki ndege tatu kihalali unaliongeleaje?
Fungua roho utuambie miaka yote ya kuwa solo in the EAC halafu unamiliki ndege tatu tu?Ulikuwa unataka niseme nini?
Maoni yangu kuhusu Naikuni na project mawingu nimeshawahi kuiandika mara nyingi. Hata this week niliandikaFungua roho utuambie miaka yote ya kuwa solo in the EAC halafu una ndege tatu tu?