Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiniletea official source kutoka KQ hata sitobishana tena, lkn eti huo upupu sijui wa ku crop vitu basi naona hapa leo utachoka sana
So waziri mwenye wizara hio hana akili kuliko wewe🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

 
Hyo ndio source kutoka KQ..
Emu katafute financial report yao acha umbweha hapa..
Mara hoo hasara inaletwa kutokana na shirika hela zake kwenda kw madeni, mara tena tax payers hvi we mwarabu koko unautumia ubongo wako ipasavyo kwel
Mwenye wizara ya uchukuzi sio mm🤣🤣👇 unanilaumu nn na kwann ulie sasa

Naona umeongea kwa jazba na hasira kali
 
Hyo ndio source kutoka KQ..
Emu katafute financial report yao acha umbweha hapa..
Mara hoo hasara inaletwa kutokana na shirika hela zake kwenda kw madeni, mara tena tax payers hvi we mwarabu koko unautumia ubongo wako ipasavyo kwel
Hasira haziwezi kubadilsha kitu mark my words 🤣🤣🤣😀😀 eti leo hujui kwann shirika linaendesha hasara
 
Huyo jamaa saa zingine akili yake huwa haifanyi kazi. Nimewachana naye tu juu nimeshindwa kuargue na huyo wazimu. Empty containers huwa zinatoka Nairobi zikija Mombasa, leo huyu wazimu anasema eti empty containers zinatoka Mombasa zikienda Nairobi. Zinaenda Nairobi kufanya nini? Jamaa hata hatumii akili.
Wazee wamezoea kulishwa pumba mpka sai wamekomazwa akli zao, haiwezekani jamaa unakiri kabisa eti empty containers zitoke mombasa ziende nairobi bana..

Itabidi watu wamepimwa tezi dume manake sio kw mambo haya
 
Kwn kasema uongo, nyie bado mnatumia truck scanners
Hizi anatumia mamako sio? TRA ndo inatumia mobile container scanners kwa wingi! 👇
Sasa kama huwezi kujua kwanini tuna 3 types of scanners at Dar port! Ina maanisha nn? Mimi nimekuomba uoneshe midaki hii Mombasa port ambayo ni specifically for scanning a moving train be a doubledeck or not!

2722635_TPAscanner.png



Tanga port
Scanning%20point.jpg



Dar port






Nachojua mimi the whole of Kenya haina vitu kama hivi ☝️
 
So ww na cs macharia nani ni waziri na nani mkuu wa kitengo
Au wewe unajua zaidi kuliko waziri mwenye wizara husika
Macharia ni waziri wa nn? Tena mbona katika post yake sijaona 17 za loan, we ulizitoa wapi..
 
Back
Top Bottom