Maisha ni mafupi sana, wkt unaishi uwe na lengo la kuacha legacy km alivyofanya the late Magufuli, ona watu walivyoumbuka, nilikuwa nasema kila siku na mm huwa sipendi kucoment jukwaa la siasa lkn jana nilikoment kwenye mada flani nikawaambia Magufuli alichukiwa na wachache ambao ni mafisadi, wala rushwa, majambazi, wachache waliotumbuliwa ambao hawajitambui na wauza unga, lkn majolity walimpenda ila km hamuamini subirini muone cku ya kuagwa, ss nadhani wanaona watu wamejaa hawajali kama ni ucku ama nn lkn wamejaa huku wakitandika nguo zao barabarani, nadhani wazandiki wameumbuka natamani BBC, na mdogo wake CNN waoneshe hii party.