Nilivyoiona nimejisikia faraja sanaa
Nilikua naangalia kwenye tv hadi alivyombeba huu utu "humanity " wa hali juu. Kuna siku tulikua na mtu sio raia wa Tanzania alikua anasema kwao ni nadra raia kuongea na askari kirafiki




Unazeeka vibaya mkuu,ukweli ni kwamba hii Dunia is all about maslahi na sio jambo la ajabu kutokea yanayotokea mkuu ni kupambana tuu ndivyo ilivyo all over the worldHaha ukiwa na neighbor anayeku-witch hunt...!
Acha upoyoyo wewe hizo chuki alizipanda mwendazake ,nasisitiza utavuna ulichopanda.. Upinzani wa tz ulikua umefika huku .. tz hakuna wapinzani kuna wapinga maendeleo,roho mbaya,chuki na ushenzi. Najua wengii hii hamkuwahi kuona oky nawapa fursa hiyo now .. Cc Venus Star ichoboy01 The best 007 Geza Ulole Tony254 . Nini maoni yenu .je tuendelee na CCM au tuwape nchi Hawa watu.? Mzee wa against CCM Yosef Festo nini maoni yako .?
Mbona siku zote wanarundikanaWatu wanarundikana kwenye msiba bila kuchukua tahadhari ya covid afu baadae waanze kutafuta mchawi kama wanavyofanya saizi humu ndani.
eeh😳😓😢kama unaumia kunywa mtindiWatu wanarundikana kwenye msiba bila kuchukua tahadhari ya covid afu baadae waanze kutafuta mchawi kama wanavyofanya saizi humu ndani.