President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,624
- 94,225
Umesoma na kuelewa nilichoandika!?Mkuu hapa naomba twende kwenye reality, ukweli ni kwamba kule bungeni wanaenda watu wanaotusaidia kutunga sheria ss km hao wanaoenda kutunga sheria na hawana confidence ya kusimama na kuongea vitu sensitive ni wa nn ss? Mana it's proven kwmb wabunge ambao ni darasa la saba wengi huwa hawaongei na hata wakipata nafasi ya kuongea huwa tunaziona pumba za kina babu Tale na Msukuma may be uniambie hapa ni mbunge gn darasa la saba wa kizazi hiki amewahi kuongea point.
Na hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wana loose confidence kutokana na ufinyu wa elimu walionao, lkn pia ni ukweli ulio wazi haya mambo ya uongozi yanahitaji darasa ila km tutataka kuendeleza siasa hapo sawa, au basi km hyo point yako ya kukwepa classes kwenye jamii basi iwe applicable pia ktk kuchagua Rais, mbn Rais hatujawahi kuchagua ngumbaru? Au Urais unahitaji profession? Profession gn? Na km urais hauko selective ktk profession mbn hatuwapi hawa ngumbaru nafasi ya kuwa maraisi?
Nimekudharau sana aise. Huwezi ukamwita mtu ngumbaru. Ni utoto wa hali ya juu.Ukweli ni kwamba hawa ngumbaru wanatakiwa wasiingie bungeni Mana huwa wanaongea pumba tupu, mtu anakazania darasa la saba darasa la saba as if wasomi hawakereki na hayo maneno yake, lakini km wasomi wangeanza kutukana darasa la saba ndio wanageonekana wanalet classes kwenye jamii ila huyo ngumbaru anayetukana wasomi anaonekana sahihi.
Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.Babu Tale ni mtumishi wa umma tunaruhusiwa kumjadili kama tunavyomjadili Rais ila hatuwezi kuijadili familia yako au mtu wako wa karibu sababu hatuhusu, hatupiki majungu hapa. Hakuna nchi ambayo raia hawailaumu serikali wanapoona baadhi ya mambo hayapo sawa.
Mkuu,kwa hili nakuunga mkono to some extent,ni kwamba mfano hoja inaletwa bungeni ambayo Inahusu mambo ya kimataifa,sasa huyu darasa la saba atachangia nini?walau ubunge ungeanzia form 6 na kwendelea,japo sio wasomi wote wenye michango ya maana bungeni.Mkuu hapa naomba twende kwenye reality, ukweli ni kwamba kule bungeni wanaenda watu wanaotusaidia kutunga sheria ss km hao wanaoenda kutunga sheria na hawana confidence ya kusimama na kuongea vitu sensitive ni wa nn ss? Mana it's proven kwmb wabunge ambao ni darasa la saba wengi huwa hawaongei na hata wakipata nafasi ya kuongea huwa tunaziona pumba za kina babu Tale na Msukuma may be uniambie hapa ni mbunge gn darasa la saba wa kizazi hiki amewahi kuongea point.
Na hii yote ni kutokana na ukweli kwamba wana loose confidence kutokana na ufinyu wa elimu walionao, lkn pia ni ukweli ulio wazi haya mambo ya uongozi yanahitaji darasa ila km tutataka kuendeleza siasa hapo sawa, au basi km hyo point yako ya kukwepa classes kwenye jamii basi iwe applicable pia ktk kuchagua Rais, mbn Rais hatujawahi kuchagua ngumbaru? Au Urais unahitaji profession? Profession gn? Na km urais hauko selective ktk profession mbn hatuwapi hawa ngumbaru nafasi ya kuwa maraisi?
Kwa ujumla anachomaanisha ni kwamba yeye hajasoma lakini amewazidi wasomi kwa pesa lakini pia mbunge kama wao so hakuna uspecial wowote wa kuwa msomi. Msomi ukisema kama yeye unapewa adhabu umemvunjia heshima mbunge mwenzako. Huyu jamaa pia alishasema bangi ihalalishwe yani hana filter kwenye mdomo wake.Ukweli ni kwamba hawa ngumbaru wanatakiwa wasiingie bungeni Mana huwa wanaongea pumba tupu, mtu anakazania darasa la saba darasa la saba as if wasomi hawakereki na hayo maneno yake, lakini km wasomi wangeanza kutukana darasa la saba ndio wanageonekana wanalet classes kwenye jamii ila huyo ngumbaru anayetukana wasomi anaonekana sahihi.
Kati yako na Kishimba nani anajua mambo ya kimataifa!?Kwa ujumla anachomaanisha ni kwamba yeye hajasoma lakini amewazidi wasomi kwa pesa lakini pia mbunge kama wao so hakuna uspecial wowote wa kuwa msomi. Msomi ukisema kama yeye unapewa adhabu umemvunjia heshima mbunge mwenzako. Huyu jamaa pia alishasema bangi ihalalishwe yani hana filter kwenye mdomo wake.
So what is problem with that!? Kusema bangi ihalalishwe. Kwani hakuna nchi duniani iliyohalalisha bangi!? Je, unajua matumizi ya bangi wewe!?Kwa ujumla anachomaanisha ni kwamba yeye hajasoma lakini amewazidi wasomi kwa pesa lakini pia mbunge kama wao so hakuna uspecial wowote wa kuwa msomi. Msomi ukisema kama yeye unapewa adhabu umemvunjia heshima mbunge mwenzako. Huyu jamaa pia alishasema bangi ihalalishwe yani hana filter kwenye mdomo wake.
Kuongoza watu ni karama sio shule mzee baba.... na mtu kua kiongozi sio lazima kila kitu ajue ndo maana ana wasaidizi wake... nikujua matatizo ya watu wako na kueka jitihada kwenye kusuluisha either by your own au assistance from your co assistants but the leader ndo with the last say... narudia tena uongozi ni KARAMA... unaeza usiwe na kisomi toshelezi lkn ukawa bado ni kiongozi..Hii kweli na kwa sasa naona kigezo cha Diploma atleast kinaingia akilini lakini sio la saba. Mtu kama Babu Tale yupo bungeni wakati nikimuangalia mimi hata udiwani tu siwezi kumpa kura yangu. Ni mambo ya aibu kwa kweli kuendelea kuwa na hawa watu kwenye Taasisi nyeti kama Bunge.
Mimi sio mbunge hadi uniulize nimefanya nini? Kazi ya mbunge sio kuhudhuria misiba na sherehe, mbunge kazi zake zipo kwenye katiba. Wewe unaleta hisia kwenye mambo sensitive ya nchi.Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.
Kila mtu atimize wajibu wake. Kuanza kumdharau mwezako ni dalili za kutokuelimika.
Wewe binafsi umefanya nini katika jamii!? Nyie ndio watu msiohudhuria kwenye misiba, kwenye kazi za kijamii.
Wacha watu wachague mtu aliyekaribu nao.
Unataka wawachague wasomi!!!? Ambao hawataki hata kukaa na jamii!!? Watu wanaona jinsi watu hao wanavyoishi na jamii.
Wanalazimisha kuiingiza Tanzania kwenye mgogoro wao!
Sasa kama wewe siyo mbunge unalalama kitu gani!?Mimi sio mbunge hadi uniulize nimefanya nini? Kazi ya mbunge sio kuhudhuria misiba na sherehe, mbunge kazi zake zipo kwenye katiba. Wewe unaleta hisia kwenye mambo sensitive ya nchi.
Wasomi gani ambao hawataki kukaa na jamii, kaka unaishi miaka ya 60 ndani ya 2021.
Karama na shule mzee. Dunia haitusubiri sisi kaka. Kuna wasomi wenye karama za uongozi pia, msomi anauwezo ya kuchambua mambo mazito ya dunia ya leo kwa kutumia usomi wake sio karama lakini darasa la saba hatoweza hata kama ana karama. Sasa kama leader ndio last say halafu hajui a wala b ya mambo mazito ya nchi unategemea aje na jibu zuri, si ni rahisi tu kudanganywa.Kuongoza watu ni karama sio shule mzee baba.... na mtu kua kiongozi sio lazima kila kitu ajue ndo maana ana wasaidizi wake... nikujua matatizo ya watu wako na kueka jitihada kwenye kusuluisha either by your own au assistance from your co assistants but the leader ndo with the last say... narudia tena uongozi ni KARAMA... unaeza usiwe na kisomi toshelezi lkn ukawa bado ni kiongozi..
Wewe soma nani amekukataza!?Karama na shule mzee. Dunia haitusubiri sisi kaka. Kuna wasomi wenye karama za uongozi pia, msomi anauwezo ya kuchambua mambo mazito ya dunia ya leo kwa kutumia usomi wake sio karama lakini darasa la saba hatoweza hata kama ana karama. Sasa kama leader ndio last say halafu hajui a wala b ya mambo mazito ya nchi unategemea aje na jibu zuri, si ni rahisi tu kudanganywa.
Kwahiyo mbunge tunayemzungumzia hapa ndio aje kulalamika? Mtu alie karibu yao na anaejua matatizo yao ni kweli lakini hoja ni kiwango cha elimu cha mbunge.Sasa kama wewe siyo mbunge unalalama kitu gani!?
Nimekueleza watu wanachagua mtu aliyekaribu nao. Wanachagua mtu anayejua matatizo yao.
Usilazimishe vitu vya kipumbavu ebo.
No comment.Wewe soma nani amekukataza!?
Lakini siasa mtu yeyote anaingia kufanya.
Shule siyo kila kitu. Nadhani wewe ndio umepata kadigree kako ka kwanza ndio unajiona umesoma.
Utasoma na utaenda kufanya kazi kwenye kampuni ya mtu ambaye hajasoma.
Tafuta pesa acha ujinga.
Hakikisha kila mmoja wenu ana repost hizi picha hapa jamvini walau mara 3 kila siku🙂[emoji583] [emoji579]
Hii project ni pilipili kwa Wakenya.
View attachment 1728209View attachment 1728210View attachment 1728211
Hoja yako haina mashiko.Kwahiyo mbunge tunayemzungumzia hapa ndio aje kulalamika? Mtu alie karibu yao na anaejua matatizo yao ni kweli lakini hoja ni kiwango cha elimu cha mbunge.
Nimekusaidia bro. Skiliza nondo za mskuma hapa The best 007 👇Kama unadhani ubunge ni kitu kirahisi. Jaribu kugombea hata ukuu wa mtaa tukuone. This is politics. Jifunze kuheshimu wenzako.
Kila mtu atimize wajibu wake. Kuanza kumdharau mwezako ni dalili za kutokuelimika.
Wewe binafsi umefanya nini katika jamii!? Nyie ndio watu msiohudhuria kwenye misiba, kwenye kazi za kijamii.
Wacha watu wachague mtu aliyekaribu nao.
Unataka wawachague wasomi!!!? Ambao hawataki hata kukaa na jamii!!? Watu wanaona jinsi watu hao wanavyoishi na jamii.
Excuse me Mr. Knowledgeable, can you tell us a little bit of how your BRT will be operating on the express way?Nilijua kuna ng'ombe isiyojielewa itadandia comment hii kama Kawa. Boss, Expressway iko na BRT na sii barabara ya kawaida - ama unaweza nionyesha barabara kama hiyo hapo kwenu?