Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Take a look ,Angalia mpaka mwisho
 
Dah,mkuu umeongea kwa uchungu😁
 
Dah,mkuu umeongea kwa uchungu[emoji16]
Mm nilishaacha kuyaangalia haya *******, hayafanyi consideration kabisa, yakiwa yanacheza yanachukulia poa tu wakati watu tunapoteza pesa kuyalipia kupanda ndege na gharama zingine kibao, kila siku yanatuaibisha na hayajitumi, mm ningekuwa na dhamana ningevunja hii timu tuandae timu nyingine ya vijana na co haya mafala.
 
tumekubaliana kutomjibu yeyoye anayeleta taarifa hizo.

tunakoelekea tutawalazimisha mods wawapige ban.ukipost tu hizi habari unakula kufuli ili tuelewane vizuri.
 


Hauko sahihi kwenye hili.

Tatizo ni TFF, lakini at least kwa sasa tutaanza vyema kwa Taifa Stars baada ya Kim Poulsen kuanza na hii ilikua ni kutest wachezaji aliowachagua na walikua kambini siku chache zisizo pungua 6, na wachezaji wengi mno waliochaguliwa bado hawajajiunga na timu watajiunga wakiwamo wachezaji wote wa Simba.

Wachezaji wa Simba watajiunga hapo kwenye Kambi Nairobi kabla ya kuelekea Guinea na wengine watajiunga huko Guinea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…