xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
kama hamkulichukua je kekele zinatokea wapi? kwa nn mlishtakiwa icj?Hilo eneo tulilichukua lini, lete ushahidi hapa..
We unafikiria jf ni sehemu kupiga vibao kata
kama hamkulichukua je kekele zinatokea wapi? kwa nn mlishtakiwa icj?Hilo eneo tulilichukua lini, lete ushahidi hapa..
We unafikiria jf ni sehemu kupiga vibao kata
So kenya ana ka indian ocean nusu???Ni jambo la busara sana kenya imefanya kukimbia hiyo kesi maana hawawezi kushinda. Somalia sio a push over state, japo wanavurugana wenyewe kwa wenyewe ila when it comes to their country wamo wamoja. Ile kete ya kuitumua jubaland kama buffer zone ya ku control kismayu ime fail.
US fail to tame Somalia so as Italians, what makes you kenyan to think you can succeed to take over somalia?
Ramani iko hivi..View attachment 1725904


Nani amesema kwamba tumeshindwa kulipa hilo deni? Wacheni upuuzi.
Salimiaga watu kwanza! The Star Kenya imesema!Nani amesema kwamba tumeshindwa kulipa hilo deni? Wacheni upuuzi.
Nimependa Magu anavyofanya mambo yake, Hizi station ukiziona Mwanzo unafikiri nn ila ukiona baada ya Finishing baba weee tunamuacha mtu mbali kabisa na nyumba zile za kuishi


Ile ni robo mkuu 😀So kenya ana ka indian ocean nusu???![]()
kiswahili kwanza then english.. jiran wameanza na english then kiswahili
Endeleeni kujifurahisha naona ndio kazi iliyobaki baada ya corona kuwatafuna mbwa nyinyiKuna vita inaendelea pale twitter Kati ya wakenya na watanzania lakini naskia nyie huko bongo TISS imewazimia mtandao wa twitter. Sasa eti mnatumia VPN.
Don't ever mess with Kenyans on twitter
Official From ???🤣🤣👇👇👇The star kenya![]()
Hii ni post ya mtu au ni official media from kenya wewe mpuuzi nini 🤣🤣🤣👇👇👇Tukileta post za watz utasema wanatumiwa na mabeberu
Au nilete sai uanze kulia lia
Kwe kwe kwe leo media unaziita post za mtu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Business daily ile ile mnayoikataa
Nilete habari zake tuone km utaikubali
Kilombero Sugar planning 584bn/- factory expansion
ippmedia.com/en/news/kilombero-sugar-planning-584bn-factory-expansion
March 15, 2021
![]()
15Mar 2021
Correspondent
Morogoro
News
The Guardian
Kilombero Sugar planning 584bn/- factory expansion
KILOMBERO Sugar factory in Morogoro Region expects to spend more than 584bn/- for the factory expansion, the work of which would begin May this year and would take two years and three months to complete.
![]()
The factory that has been providing economic benefits to small sugar cane farmers has of now 66,000 such farmers enabling the factory to produce between 550,000 to 600,000 tonnes of sugar per year.
In 2018/2019 season alone the factory produced 629,000 tonnes valued at 65bn/-.
Speaking during the visit at the factory at the weekend by Tanzania Investment Centre’s (TIC) Managing Director Dr Maduhu Kazi, the Kilombero Sugar Company managing Director Guy Williams said the aim for the expansion was to increase the country’s sugar production.
“Expansion work is expected to take two years and three months to complete beginning May this year as soon as we obtain the building permit, and in the new factory we plan to generate 10MW extra electricity that would go into the national power grid. It will be the biggest sugar factory in East Africa,” said Guy Williams.
He told Dr Kazi about challenges they have been facing, but said these have to be solved before they finalise expansion work.
“As I said earlier, the implementation of this project is an issue that entails cooperation, and we shall do our best in so far as our position would allow, will provide that cooperation within the existing procedures,” said Dr kazi.
Top Stories
CC: Tony254